Ndoa Na Simu Vimechangia Pia watoto kufeli

Ndoa Na Simu Vimechangia Pia watoto kufeli

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
40%ya watoto wetu wameoana,taka usitake habari ndo hii,hasa shule za kata madogo wengi wanatumika mapenzi bila ya wazazi kua na habari,na Wengi wana simu,na ni kua wazazi tunawapa na zingine zafichwa wazazi hatuoni,na tunawadekeza sana wanetu.
 
Vipi wale watoto wa bweni ambao wngi wanakaa mashuleni bila simu na hawajaoa???

Mbona shule maaalumu nazo zinaporomoka???
 
Wabweni wanasimu baadhi wanaziicha
 
Back
Top Bottom