matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kukatia tamaa suala la ndoa, ni kukatia tamaa sababu ya kuishi.
Mungu kwa akili yake timamu alisema si vyema mwanaume akae peke yake.
Shetani ndiye amebrainwash watu kuona ni vyema kuachika, kuwa single mama/baba, kupiga na kuacha, punyeto, na lgbtq.
Usikatishe tamaa. Ndoa ni kitu bora na safi kabisa. Ukitaka kujua jifunze kwa waliofaulu ndoa zao sio waliofeli ambao ndio wengi.