matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
We oa usilazimishe wengne waoe bhanaKukatia tamaa suala la ndoa, ni kukatia tamaa sababu ya kuishi.
Mungu kwa akili yake timamu alisema si vyema mwanaume akae peke yake.
Shetani ndiye amebrainwash watu kuona ni vyema kuachika, kuwa single mama/baba, kupiga na kuacha, punyeto, na lgbtq.
Usikatishe tamaa. Ndoa ni kitu bora na safi kabisa. Ukitaka kujua jifunze kwa waliofaulu ndoa zao sio waliofeli ambao ndio wengi.
Ha ha ha...ndoa tamu mkuu[emoji4]
Uzi muhimu sana huu, kumekua na wimbi la wapotoshaji kuhusu ndoa na kampeni za kukataa ndoa, hizo zote ni agenda za shetaniKukatia tamaa suala la ndoa, ni kukatia tamaa sababu ya kuishi.
Mungu kwa akili yake timamu alisema si vyema mwanaume akae peke yake.
Shetani ndiye amebrainwash watu kuona ni vyema kuachika, kuwa single mama/baba, kupiga na kuacha, punyeto, na lgbtq.
Usikatishe tamaa. Ndoa ni kitu bora na safi kabisa. Ukitaka kujua jifunze kwa waliofaulu ndoa zao sio waliofeli ambao ndio wengi.
Ni dini gani mkuu inasema hivi ?Kukatia tamaa suala la ndoa, ni kukatia tamaa sababu ya kuishi.
Mungu kwa akili yake timamu alisema si vyema mwanaume akae peke yake.
Shetani ndiye amebrainwash watu kuona ni vyema kuachika, kuwa single mama/baba, kupiga na kuacha, punyeto, na lgbtq.
Usikatishe tamaa. Ndoa ni kitu bora na safi kabisa. Ukitaka kujua jifunze kwa waliofaulu ndoa zao sio waliofeli ambao ndio wengi.
Wewe ni mkristo au muislam ?Uzi muhimu sana huu, kumekua na wimbi la wapotoshaji kuhusu ndoa na kampeni za kukataa ndoa, hizo zote ni agenda za shetani
Ndoa ni ibada
SahihiWe oa usilazimishe wengne waoe bhana