Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
INTRODUCTION
Eeeh bwana eeeh! Wazima humu na Heri ya pasaka sanaaa.
NB: Sina maana yoyote ya kudhihaki kutokana na kichwa cha habari.
Anyway baada ya salama twende kwenye mada.
SCENARIO
Nina jamaa angu huu mtaa lilipo duka langu.
Huyu jamaa angu yamemkuta MAKUBWAAAA kwenye ndoa yake (Tumuite Paul).
Iko hivi, Paul alianza kunizoea tokea Jan/2023 baada ya kuwa natumia muda mwingi kuwa dukani badala ya kazini. Akawa akipata kichwa (mteja) anamlengesha dukani kwangu, dah kwasababu hii Uswahiba ukazaliwa.
Sasa bana Paul ana mke, ambae kaumbika kweli (tumuite Tina) na pia kwenye maisha yao wamebarikiwa mtoto mmoja 4Yrs old (tumuite Eliza).
Tina kiukweli Mimi na yeye HATUNA MAZOEA YOYOTE na niliyakata mwenyewe hayo mazoea kimakusudi ili NISIHARIBU kwa Paul.
Sasa bwana unaambiwa Tina kidizaini ni kama FBI au CIA kwa Paul. Yaani anamchunguza sanaa Paul na isitoshe, yaani huyu Tina anapenda sanaaa kukagua simu ya Paul.
Paul hii tabia ya Tina ikawa ina mboa balaaa, na kila siku anamuonya ila Tina HAELEWI.
Sasa kutokana na hii tabia ya u-KGB ya Tina kukomaa kuna siku Paul ikamshinda, akaona na yeye akague simu ya Tina. Akaanza sms za kawaida HAKUNA KITU. FB Massenger HOLAAAA Pekenyua weee mpaka akafika kwa WhatsApp. Hapo sasa ndio KISANGA MBAAAAAA
THE PROBLEM
Kufika WhatsApp akafikia kwenye chatting ya Tina na dada ake. Kwenye chatting yao, wakawa wanajadili kuwa
1. Kuna baba Eliza mwengine anamtaka mtoto wake (SIO PAUL).
2. Na kwamba huyo baba Eliza mwengine kachoka kutoa matunzo huku Eliza wake yupo mbali nae.
3. Dada wa Tina ikiwa anamlalamikia Tina, kwanini hakumwambia ukweli Paul toka zamanii ila mpaka sasa anaficha huo uovu.
Paul baada ya kusoma chatting yotee, ikabidi amtafute dada wa Tina (Shemeji yake).
Dada wa Tina kupokea simu na kusikia Paul anaongelea habari za Eliza na baba mwengine akakata simu na kuzima na HAPOKEI KABISAA TENAAA.
Akampigia huyo baba mwengine wa Eliza, nae kusikia hizo habari akakata simu na HAPOKEI KABISAA Ili asipoteze ushahidi Paul ikabidi a-screenshot ile chatting ya Tina na dada ake halafu a print ushahidi.
THE BIG PROBLEM
Baada ya Paul kufanya u-MOSSAD siku hiyo mpaka kuthibitisha ukweli ikabidi amuhoji Tina.
Tina kuulizwa anaruka, ikabidi Paul amuonyeshe printout ya screenshot zile. Tina kuonyeshwa ushahidi ikabidi alie sanaa na kuomba msamaha, baada ya mzozo uliozua hasira Kali ndio Paul ikabidi atoke kwake na kuja dukani na kunisimulia yotee haya.
FLASH BACK
Tina na Paul wametoka mbali sanaa (since 2017) na walianza urafiki, uchumba na mwaka huu mwezi wa 12 ndio walikua wafunge ndoa.
Tina na Paul wameishi miji mitatu wakitafuta maisha ila huu mji ndio wakauelewa na kujenga + kuzaa na plan za kujenga familia ndio zikaanza kwenye mji huu.
DILEMMA
Hizi siku 2 za baada ya sikukuu Paul kaishi kwa shida sanaaa, maana Paul kaishi miaka yote na Eliza akijua ni mwanae. Katengeneza bond kubwaa sanaa na mtoto Eliza kama baba mzazi, na huku akijua kuwa yeye ndio baba mzazi kumbe Holaaaaaa.
Hajui afanyaje. Kaongea na wazazi wake wanachomwambia akiingia akilini ""Avumilie ndio ndoa ilivyo." Wazazi wa Tina wakimpigia hapokei. Na haya yalitokea Juma3 ya Pasaka (baada ya Tina kumchukua Eliza na kwenda nae out "Kwenye mabembea ya watoto" na kusahau simu ndani.
THE END
Leo sina usia wowote ACHA YAWAKUTE.
Hoya Katibu Wangu dronedrake hebu print hii taarifa halafu Peleka kwenye bodi ya wakataa NDOA waijadili.
Tuangalie kwenye Act na Regulations zetu kama tunaweza msaidia, maana huyu Paul anahitaji Asylum ya dharura, tulimwambia asioe akabisha SASA YAMEMKUTA.
Anyway: Tuendelee kutafuta HELA ""If you think money can't buy Happiness then go and ask the Homeless and the Jobless""
#YNWA