Ndoa ngumu sana ndugu zangu; kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu

Na kwenu wapo wetu pia
 
😂😂😂😂Nimeshangaa hivi habari then watu wanacomment eti huyo mzungu kamcheat mwanamke.
Hivi mwanamke mwenye pesa nae anasalitiwa..!!!
🤷🤷🤷
Dunia ngumu sanaaa hiii.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…