Ndoa ngumu sana ndugu zangu; kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu

Yaani mimi mtoto azaliwe hadi nalea na nisijue kwamba ni wangu au lah! mh hapana asee kuna watu tuna mbegu nzito.
 
JIDANGANYE. HAKUNA CHENU.
ULIPANDA MBEGU SHAMBANI KWA WATU.
 
Huyo mwanamke na familia yake hawafai kabisa walikua wanamchora bwana paul
 
Hivi una uhakika 100% hapo kwenu hakuna watoto wetu?? Kwanini umeongelea upande mmoja??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…