Ndoa sivyo kama unavyofikiria mkuundoa ni jela, ndoa ni maigizo yasio na hela
Huyo ni mwanamashairi tu wala hata ^hajali^ sana anachoandika kuwa inaweza kuwa ^ajali^ AsitutusheeeeeeScars najua hujakutana nae bado, na siku ukikutana nae utabadilika[emoji4][emoji4]
Wakati wako ukifika usiache kuni tag
ndoa ni jela, ndoa ni maigizo yasio na hela
Hata wewe unajua kwenye simplest principles za trade na finance, hiyo concept yako ni illogical & fallacykwenye ndoa
mme loses
mke gains
Uko sahihi kabisa 100% nakubali kabisaUkiwa mwana ndoa wekeza kwenye ndoa yako, wekeza akili, muda, pesa, Upendo nk.
In the long run hutakaa ujute.
ndoa ni jela, ndoa ni maigizo yasio na hela
Unajua relationships na ndoa ni kitu huwezi kufake hata, if you consider kwamba it is as though you're constantly monitoring and evaluating each other's behavioral change and development. Ukifake lazima uumie na kuumbuka tu. By nature, love relationship has to be intrinsically transparent in order to be genuine.Ndoa ni Sakramenti Takatifu...
Kwa Wachache waliopendelewa kuipata.
Itakuwa labda hilo neno ^KUFUNGA^ ndoa linampatia ukakasi sanaJela kivipi? Kama watu wamependana wakafunga ndoa kwa hiari yao inakuaje jela?