Ndoa ni jukumu linalohitaji upendo wa kweli na kujitoa

Ndoa ni jukumu linalohitaji upendo wa kweli na kujitoa

Hongereni kwa kuushinda ujana,

mimi natamani kuingia huko tatizo hawa wadogo zenu wanatugeuza mitaji nikishaona hivo nabadli gia angani,
Mtu unakuwa na nia nae lakini kila unachomwelekeza anakuona kama umepitwa na wakati na Mimi sina moyo wa kusumbuana na mtu mzima tuliyekutana ukubwani
Mkuu Hakuna asiyepeenda kuoa au kuolewa jambo linaloumiza kichwa wengi ni yupi sahihi wa kumuoa mana kila ninayepata ndo walewale hili jambo huwasumbua vijana wengi lkn wanasahau wao ndo walotengeneza mazingira hayo mpk kufikia ugumu huo

Mm nawasihi vijana walio na umri kuanzia 18 mpk 25 huyo uliyenae sasa hivi ndio sahihi ndio mkeo/mumeo sahihi ukimuacha aende sasa kwa kuamini utapata mwingne mbele ambaye bora zaidi unajiongope na utakuja juta sana na itakuwa toolate
hvyo mjengee misingi imara sasa wekeza upendo na heshima kwakwe ili uje upate matokeo bora baadae
Kuanzia miaka 25 kuendelea hasa ukishafika miaka 30 ikiwa hukujenga msingi wa mahusiano bora kwa mpenzi wako awari
Ukifija umri huo kupata mwenza sahihi wa kuingia nae ndoani huwa mtihani mkubwa hupelekea mpk vijana wengi waone ndoa ni changamoto kubwa
Kumbe ni wao wenyewe walikosea kujemga msingi zamani kwann nasema hivyo
Kiuhalisia mwanamke katika maisha yake yote ana nafasi ya mwanaume mmoja tu katika moyo wake sasa ikiwa huyo mwanaume si wewe na bahati mbaya ukute hiyo nafasi ilishapotea(kwamaana alishapenda ila ajatendwa) ooohps huwa taaabu kwelikweli
Sasa chukuria mfano hiyo nafasi 1 ndo wewe ikawa ndo wewe na wewe pia ukawa unampenda huyo msichana namkawa mpo ndoani je ni vipi hiyo furaha yake ndoani

Lakini pia hata km ulikosea zamani wajati bado upo barobaro bado hujachelewa huyo uliyenaye sasa hivi aghalabu unaweza kumfanya akawa mwenza wako sahihi 7bu binadamu tumeumbwa kubadilika kulingana na mazingira
Anza kwa kumpa heshima upendo na kujiheshimu wewe mwenyewe zaidi jaribu kumtunza na kumsaidia kutataua changamoto zake kadri utakavyojaliwa bira kuigiza au kuzidi uwezo wako
Muhimu kumbuka UAMINIFU ukishapotea haurudi tena
na ni ghakama kubwa mno katika mahusiano jitahidi kuwa mwaminifu kwa mpenzi wako na UAMINIFU kwa dunia ya sasa unaanzia kwenye SIMU
Hivyo Kuwa huru na SIMU yako na ya mpenzi wako wakati wowote akihitajiau ukihitaji
Yamkini utapata kilicho bora kwa kujenga msingi imara wa kuingia NDOAN
 
Ndoa ni kitu muhimu sana na lazima tukiheshimu, ingawa kuna changamoto zake. Kwa uzoefu wangu, changamoto zilizopo ni kwa sisi ambao nguvu bado ziko imara, unakuta kila wakati unahitaji..huku mwenzio hawezi kukuhudumia; sasa ukivumilia hapo,lazima utaona ndoa ni kama gereza....ila ukatafuta wa pembeni ambaye ni mstaarabu na mkamalizana kimya kimya....huku ndoa yako ukiiendeleza kwa upendo,maendeleo n.k nadhani Mungu pia anafurahi.
Huko pembeni huko💣🙌
Ni sawa na kukimbia mahabusu kwa kosa ambalo halijathibitishwa na kuishia kuingia gerezani kwa kosa la kukimbia mahabusu
 
Huo usemi unasimamaa kwenye kuoa sio kuolewa
Mwanamke kamwe hakosei kuolewa yaani Mwanamke mpk anaingia kwenye NDOA huwa anajua nini anafuata na nani aolewe nae
Hii ipo tofauti kwa mwananume
Mkuu kotekote kwa wanawake na wanaume kuna kukosea. Wapo wanaume wanakosea kuoa na wapo wanawake wanakosea kuolewa pia.
Kama huamini kamuulize madamflora
 
Huko pembeni huko💣🙌
Ni sawa na kukimbia mahabusu kwa kosa ambalo halijathibitishwa na kuishia kuingia gerezani kwa kosa la kukimbia mahabusu
Cha muhimu tu ujue unaenda kwa nani, ukikosea ndio balaa zaidi
 
Nikimpata anaye deserve basi ntaweza kukusapport hoja wako....kwa Sasa Sina cha kuongezewa hapa
 
Cha muhimu tu ujue unaenda kwa nani, ukikosea ndio balaa zaidi
Hakunaga kupatia huko pembeni. Weka kwenye akili yako tuu kwamba yoyote utakayemfanya mchepuko na yeye atakufanya mchepuko vilevile na kamwe hawezi kukupa nafasi unayoidhania umepata.
 
Hakunaga kupatia huko pembeni. Weka kwenye akili yako tuu kwamba yoyote utakayemfanya mchepuko na yeye atakufanya mchepuko vilevile na kamwe hawezi kukupa nafasi unayoidhania umepata.
Au unatafuta walioachika na waume zao
 
Mkuu kotekote kwa wanawake na wanaume kuna kukosea. Wapo wanaume wanakosea kuoa na wapo wanawake wanakosea kuolewa pia.
Kama huamini kamuulize madamflora
Flora hakukosea alikuwa aanajua anaolewa na mtu wa aina gani eidha aliamini atabadirika mbeleni
Ni kwa namna alivyokuwa naye tangu awali wakati wapo kati mahusiano
Na hili ndilo ambapo wengi hukosea hapo

Na pengine aliolewa kwa kwa kuwa alitaka kitu fulani au kufikia hatua ama malengo fulani

Niamini dada mwanamke anajua fika huyu ninaeolewa nae ni majanga au sijampenda nk na anaweza ficha hiyo au vumilia miaka yote ya ndoani
Wanawake mnabeba mambo mengi mno moyoni
Ndio mana sisi wanaume tukaambiwa tuishi na nyinyi kwa akili na uislam umeenda mbali zaidi kwa kusema wakizingua DUNDA piga kwa kiasi ili dishi likae sawa maisha yaendelee
20210103_161605.jpg
 
Au unatafuta walioachika na waume zao
Wakati huo na wewe ujiandae kuachika kwa mke wako. Equation x wanawake sisi hamtujui. Tuna nguvu za aina yake zote nzuri na mbaya inategemea tuu na matumizi yenu wanaume. Unaweza kukutana na mwanamke kama malaika ila akibadilika humtamani, haijalishi ni wa pembeni au wa kati...
imagine hata sisi wenyewe kuna wakati hatujuagi hata tukoje🤣🤣🤣

Ndio maana Mungu aliwaambia muishi nasi kwa akili tuu
 
Ndoa ni chama cha majukumu makubwa sana, majukumu ya kujenga familia na kujenga jamii bora na baadae taifa bora. Tulio kwenye ndoa tupongezane na wanaotegemea kuingia chamani mjue tuu hili ni jukumu zito lenye raha na starehe ndani yake nana linalohitaji watu wawili wenye upendo wa kweli, upendo ulio mkuu.
Starehe na raha ya ndoa haishushwi kama mana ilivyoshushwa kwa wana wa Israel kule jangwani bali inapatikana kwa kila mmoja kuwajibika katika nafasi yake na kujitoa kwelikweli

View attachment 1666412

Cc Kuhani Noah Ushimen mrangi Extrovert Equation x

Happy school fees week kwa wazazi wote
Dah hapo kwny school fees hapo ndio umenigusa...wiki ngumu sana hii mkuu mama D
 
Wakati huo na wewe ujiandae kuachika kwa mke wako. Equation x wanawake sisi hamtujui. Tuna nguvu za aina yake zote nzuri na mbaya inategemea tuu na matumizi yenu wanaume. Unaweza kukutana na mwanamke kama malaika ila akibadilika humtamani, haijalishi ni wa pembeni au wa kati...
imagine hata sisi wenyewe kuna wakati hatujuagi hata tukoje🤣🤣🤣

Ndio maana Mungu aliwaambia muishi nasi kwa akili tuu
Unajua katika hii dunia Mungu hakupi vyote. Anaweza akakupa mwenzi mwema na mkafanikiwa katika hatua fulani....ila sasa upande mwingine wa mapenzi ukawa changamoto; unakuta mwingine ni mkata viuno vizuri, ila kwenye mambo ya maendeleo ni sifuri n.k ndio maana ukiona mwanaume anatembea huku akiwa anaongea au kutikisa mdomo mwenyewe jua kuna kitu kimemsibu.
 
Flora hakukosea alikuwa aanajua anaolewa na mtu wa aina gani eidha aliamini atabadirika mbeleni
kwa namna alivyokuwa naye tangu awali wajati kati mahusiano ambapo wengi hukosea hapo

Na pengine aliolewa kwa kwa kuwa alitaka kitu fulani au kufikia hatua ama malengo fulani

Niamini dada mwanamke anajua fika huyu ninaeolewa nae ni majanga na anaweza ficha hiyo au vumilia miaka yote ya ndoani
Wanawake mnabeba mambo mengi mno moyoni
Ndio mana sisi wanaume tukaambiwa tuishi na nyinyi kwa akili na uislam umeenda mbali zaidi kwa kusema wakizingua DUNDA piga kwa kiasi ili dishi likae sawa maisha yaendelee
View attachment 1666605

Mwanaume ana nguvu kubwa sana ya kum manage mwanamke kama tuu anataishi nae kwa akili.
Mume wa madamflora alishindwa kuishi nae kwa akili tuu ndicho kilichomfungua mke akili ya kuona upande wa pili wa shilingi.
Wanawake na wanaume tumeumbwa tofauti sana ili tunapokutana kwenye ndoa tukamilishane. Na hii inawezekana tuu pale majukumu ya kiuumbaji na heshma ya mwanaume inapolindwa kupitia matendo yake ya uanaume
 
Dah hapo kwny school fees hapo ndio umenigusa...wiki ngumu sana hii mkuu mama D
Ngumu kwetu sote. Hebu tuchezeni mchezo wa kupeana pesa kila wiki watoke watu2 tumalizane na hawa madogo🤣🤣🤣🤣
 
Wapo... Tafuta ... Utampata..
Achana frustrated individuals wa hapa.
With God...Nothing is Imposible

Back
Top Bottom