Grim Langdon
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 780
- 2,296
Nashkr umenielimisha.Huo usemi unasimamaa kwenye kuoa sio kuolewa
Mwanamke kamwe hakosei kuolewa yaani Mwanamke mpk anaingia kwenye NDOA huwa anajua nini anafuata na nani aolewe nae
Hii ipo tofauti kwa mwananume