Said Cosmetics
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 2,007
- 1,600
Dawa ni kumnunulia magunia ya mkaa auze tuNi kweli mkuu wanamaliza wao baadae uchumi ukishuka hawakumbuki kuwa wao ndio wamesababisha
Dawa ni kumnunulia magunia ya mkaa auze tu
Tena wanaweza kuhonga kwa muuza chips mfyuu zao hawa viumbe bwanaNi kweli kabisa,ila kwa vile wana vichwa vibovu unaweza kumfungulia hiyo biashara na hela bado isionekane au hela atume kwao halafu aendelee kukuomba
Tena wanaweza kuhonga kwa muuza chips mfyuu zao hawa viumbe bwana
Wana kihuruma cha karibu halafu baadae wanakuja kujutia baada ya kupata mimba halafu akubambikiehawajui kutofautisha jema wala baya.
Utamnunulia gari atapanda kwenda safari yake gari itapata pancha mwanaume atakayemsaidia kuziba pancha na kumjazia upepo atamuona wa maana atamzawadia papuchi
Wana kihuruma cha karibu halafu baadae wanakuja kujutia baada ya kupata mimba halafu akubambikie
Wacha tuisome namba tu mkuuNi shida sana yaani
Wacha tuisome namba tu mkuu
ndio hivyo ila nilishakosa mpenzi
Kisa nini mkuu
uchumi kuyumba
Utapata mwingine mkuu maana pesa wanamaliza hawa hawa jinsia ya ke
Ni kweli mkuu wanamaliza wao baadae uchumi ukishuka hawakumbuki kuwa wao ndio wamesababisha
Dawa ni kumnunulia magunia ya mkaa auze tu
Ni kweli kabisa,ila kwa vile wana vichwa vibovu unaweza kumfungulia hiyo biashara na hela bado isionekane au hela atume kwao halafu aendelee kukuomba
Tena wanaweza kuhonga kwa muuza chips mfyuu zao hawa viumbe bwana
hawajui kutofautisha jema wala baya.
Utamnunulia gari atapanda kwenda safari yake gari itapata pancha mwanaume atakayemsaidia kuziba pancha na kumjazia upepo atamuona wa maana atamzawadia papuchi
ππWana kihuruma cha karibu halafu baadae wanakuja kujutia baada ya kupata mimba halafu akubambikie
Ni shida sana yaani
π€£π€£π€£π€£π€£Wacha tuisome namba tu mkuu
π π π π π πKweli hakuna jinsi maana ndio tumeshaumbiwa hao viumbe
Dawa ni kupunguza idadi tuu.
Ukiwa na mmoja kumpa pesa ni sawa na kuhamisha kwenye wallets na kuweka kwenye mfuko wa shati.
Wako mmoja hawezi maliza pesa
Kwa maana hiyo dawa ni kupunguza idadi na kumtosheleza. Ukiongeza idadi umeongeza wasiotosheka na ndio hapo taabu ilipokaliaKwani unafikiri huwa mnatosheka nyinyi?
Ukimnunulia corola atataka IST,ukimnunulia IST atataka Rav 4,ukimnunulia Rav 4 atataka Harrier,Ukimnunulia Harrier atataka Prado,ukimnunulia Prado atataka BMW
Wote hamtosheki hakuna cha mke wa kwanza wala wa pili,hakuna cha mchepuko wote sawa tuKwa maana hiyo dawa ni kupunguza idadi na kumtosheleza. Ukiongeza idadi umeongeza wasiotosheka na ndio hapo taabu ilipokalia
Wengi hawatokuelewa, ila ndo ukwel wenyeweUsaliti sio ishu kama hela ipo, ndio maana penye hela hata mume akiwa mwendawazimu mwanamke atatulia tu na hii ni by 90% rate ya ndoa.
Shida ni hela iwe hamna au ya kuunga unga halafu kuwe na madhaifu mengine hapo ndio utazijua rangi halisi za mwanamke [emoji23][emoji23][emoji23]
Wote hamtosheki hakuna cha mke wa kwanza wala wa pili,hakuna cha mchepuko wote sawa tu
Mke sahihi ni yule anaye tambua mmewe sio perfect na Mme sahihi ni yule anaye tambua mkewe sio perfect.
Mke na mme wanapaswa kufaana na sio kufanana.