Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Haya mambo yako kote sikuhizi,Wanawake wengi wanaoitafuta sana ndoa ama Wanaopigania sana waolewe kwa ndoa wengi wao hutanguliza ubinafsi wao mbele, huwa- judge wanaume wanaokuja kuwachumbia Kwa kigezo cha Uchumi na hadhi zao badala ya kuangalia upendo wa wanaume wanaokuja kuwachumbia.
Hii huwafanya watumie muda mrefu na Wakati mwingine hufikia kuchanganyikiwa.
Kinachounda ndoa NI Upendo sio uchumi wa mwenza iwe Mwanamke au Mwanaume.
Upendo ndio huleta yote ndani ya Ndoa,
Lakini wanyonyaji kwao upendo sio lolote, wanaamini uchumi ndio upendo. Mwishowe wakiingia ndoani huona mambo yakiwa tofauti
Moja ya ex aliniacha kisa kapata dada mambo safi,akarogwa vzr,bahati nzuri mama ake Yuko vzr,alimuokoa kutoka Kwa huyo mdada😛..
Hakukoma,kwenye kuoa ss,akakutana na mhasibu wa TRA (kabila pendwa linalotanguliza pesa) akaoa kinachoendelea sahivi,Kawa mlevi, for the 1st time nimeshangaa anavuta na bangi 😳(kaka msomi,kaishi mpk ng'ambo Kwa miaka kadhaa)
Famchezo nn
Mke kamwambia naenda Marekani kusoma,kasepa zake na mtt wao 1,mke hajamuachia baba kampeleka kwa mama ake!
Anakiri alijua mwanamke mwenye kazi watafanya maisha na kilichopo ni vice versa