Ndoa ni trading, ndoa ni contract, ndoa ni partnership. Wanawake wapo makini sana kujilinda wasipate hasara kwenye biashara /mkataba wa ndoa

Haya mambo yako kote sikuhizi,
Moja ya ex aliniacha kisa kapata dada mambo safi,akarogwa vzr,bahati nzuri mama ake Yuko vzr,alimuokoa kutoka Kwa huyo mdada😛..
Hakukoma,kwenye kuoa ss,akakutana na mhasibu wa TRA (kabila pendwa linalotanguliza pesa) akaoa kinachoendelea sahivi,Kawa mlevi, for the 1st time nimeshangaa anavuta na bangi 😳(kaka msomi,kaishi mpk ng'ambo Kwa miaka kadhaa)
Famchezo nn
Mke kamwambia naenda Marekani kusoma,kasepa zake na mtt wao 1,mke hajamuachia baba kampeleka kwa mama ake!

Anakiri alijua mwanamke mwenye kazi watafanya maisha na kilichopo ni vice versa
 
Mkuu hujanitendea haki kabisa. Unge refer andiko langu.sema ndio ivyo sijaweka hatimiliki. Sio mbaya Kama umenisoma na kuamua kulifungulia Uzi andiko langu ama mchango wangu. I really appreciate Ila najua huwa natoa elimu kwa jamii nzima
 
Kazi yake ni kufanya kazi za nyumba na kuzaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Getrude lwakatare kazaa watoto sita kwenye ndoa yake... na bado hakuwa tegemezi kwa mumewe amefanya kazi na biashara na kuwa mwanamke tajiri kuliko wote Tanzania.

CEO wa NMB Bank Ruth Zaipuna ameolewa na amezaa watoto wanne kwenye ndoa yake. Ila bado ameweza kufanya kazi yenye presha PWC kwa miaka kibao.. yaani anabeba mimba, anazaa , analea, usiku anakesha kubembeleza mtoto na asubuhi anaamka mapema anawai PWC kufanya majukumu yake ya auditing

Wanawake wa kisasa kina mama juniour wanazaa mtoto mmoja ama wawili tu tena kwa operation. Hao watoto wawili ndio wamfanye akae nyumbani golikipa na kula jasho la mumewe kila siku.

Kuzaa sio excuse kwamba uwe mzigo kwenye ndoa.. kwenye trading unakuwa unamnyonya mumeo.

kwa Afrika unapooa ni kwamba automatically umejitengenezea wategemezi wa kutosha. Kwa baadhi ya familia zisizo na aibu upande wa mke wanaweza kuhamia kwako na kujikuta unabeba majukumu mazito. Mimi nashauri kila mtu atumie akili yake vizuri kabla ya kujiingiza kwenye ndoa. Fuatilia vizuri familia ya mke wako ili upate tathmini nzima ya unapokwenda kuoa.
 
Ndugu una akili mingi sana. Hongera[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kila mtu ashinde mechi zake,asiyeelewa Hekima iliyomo kwenye andiko lako hili ataelewa siku masikio yake yakitoka damu
 
In short,wanawake ni wezi -smarts.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…