Ndoa ni ushahidi wa kutokuaminiana katika mahusiano

Ndoa ni ushahidi wa kutokuaminiana katika mahusiano

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,217
mkioana mpaka mtangazane kwa watu ili kila mtu ajue huyu wa fulan ili ujijue unafahamika,na uogope kutoka nje ya ndoa mpaka kwa kuiba sana,UMUHIMU WA NDOA NI UPI.
 
mhhhhhhhhhhhhhh!...heri mimi sijaoa,...subiri wenye ndoa zao watavyokusurubu
 
Kwa hiyo unapenda watu wachakachuane kama kuku vile au?
 
Home of Great thinker, wamevamia watu ambao upeo wao wa kufikiri ni mdogo sana. Hapa hakuna cha kuchangia.
 
yaani watu kila kikicha wanafikiri ndoa tu hata kujadili kwa siku naingiza sh. ngapi
 
Kama umeolewa/umeoa sina shaka unaelewa maana ya ndoa lakini kama haujaoa sikushauri uingilie mambo yaliyo juu yako kiasi hiki,subiri,tulia siku ukioa/kuolewa naamini utajua maana ya ndoa...utaanza na mafundisho ya ndoa kisha ama Padre/Mchungaji/Shehe atamalizia kukupa definition ya ndoa,pole sana!
 
Back
Top Bottom