Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Leo nimepokea msg kutoka kwa dada mmoja(rafiki wa karibu) akaniambia nitune clouds fm saa sita na nusu nisikilize mkasa uliopo..
Hizi ndoa zina balaa kubwa sana,kwa wale waliosikiliza najua watakubaliana na mimi lakini kama hujasikiliza ngoja nikupe hint kidogo-
Kwa kifupi mkasa upo hivi..kuna wanandoa wenye mtoto mmoja,kutokana na maelezo ya majirani wanandoa hao walikua ni watu wa ugomvi kila siku,kama miezi miwili iliyopita mwanaume alipiga simu kwa ndugu wa mke akitoa taarifa kuwa ana siku ya nne mkewe hajarudi nyumbani na akaonyesha msg aliyotumiwa na mkewe kuwa "naondoka nakuacha na mwanao naenda kufanya maisha yangu nimechoka".kesi ikafika polisi uchunguzi ukafanyika na wakabaini mzeebaba ndio kamuuwa mkewe hata ile msg mzeebaba alijitumia mwenyewe maana uchunguzi ulionyesha simu zilikua karibu sana wakati huo ujumbe unatumwa, iligundulika pia jamaaa alimchoma kwa magunia mawili ya mkaa mkewe akafukia majivu juu akamwaga zege.
Wanawake vumilieni ndoa zenu lakini ukiona mwenzako hasomeki rudi kwenu,uvumilivu unaweza kukupa umauti au kilema cha maisha.