Ndoa ni uvumilivu lakini inaweza kukaribisha umauti.

Anaglizo langu kwa watoto wa kike
...... Mwanaume sio mwenzako kwa maana hamfanani jinsia na wala hamfanani mamlaka. Mwanaume anachukulia very serious swala la kugegedana na mtu mwingine ni heri utumie pesa yake vibaya au uwe mzembe hilo ataweza kukusamehe na kukubali kukupa nafasi ya kujirekebisha ila sio u'cheat aisee.... Mwanaume akijua umelala na mwanaume mwingine na ulifanya kwa kudhamiria dada yangu sahau kusamehewa, ataliweka akili miaka yote mnaishi pamoja na hata kuwa na imani na wewe popote atapokuona ukiongea na jinsia ya kiume.....
Ni kwel mkuu

Yani mwanamke akicheat na akijua mumewe kajua hata kama kamsemehe inabidi ajiangalie sana maisha yake
 
Sio wanaume wote wanaweza kuvumilia kuchapiwa, matukio mengi ambayo yamesababisha mke kupewa kichapo kitakatifu au hata mauwaji toka kwa mume huwa yanatokana na uchepukaji wa mke. Mume hata akikusamehe huwa anaondoa thamani ya mke pale anapobaini kuwa uliwahi kuchepuka. Hii ni tofauti na wanawake ambao wanaumia na kisha kuja kusahau.
Kweli mkuu..hata mimi nilishasema kosa hilo sitolisamehe kamwe,ila kuuwa sio suluhisho unamrudisha tu kwao
 
Dawa ndiio hii hii. Nyie wanawake mna mambo ya ajabu sana
Yaani hiyo story nimesikiliza jana na leo wamemalizia ila huyu mkaka ni katili mno kamkatili dada wa watu jamani hata kama ni maugomvi jifunzeni kumuacha mtu aende hata kama mmetoka mbali
 
Leo nimepokea msg kutoka kwa dada mmoja(rafiki wa karibu) akaniambia nitune clouds fm saa sita na nusu nisikilize mkasa uliopo..
Hizi ndoa zina balaa kubwa sana,kwa wale waliosikiliza najua watakubaliana na mimi lakini kama hujasikiliza ngoja nikupe hint kidogo-
Kwa kifupi mkasa upo hivi..kuna wanandoa wenye mtoto mmoja,kutokana na maelezo ya majirani wanandoa hao walikua ni watu wa ugomvi kila siku,kama miezi miwili iliyopita mwanaume alipiga simu kwa ndugu wa mke akitoa taarifa kuwa ana siku ya nne mkewe hajarudi nyumbani na akaonyesha msg aliyotumiwa na mkewe kuwa "naondoka nakuacha na mwanao naenda kufanya maisha yangu nimechoka".kesi ikafika polisi uchunguzi ukafanyika na wakabaini mzeebaba ndio kamuuwa mkewe hata ile msg mzeebaba alijitumia mwenyewe maana uchunguzi ulionyesha simu zilikua karibu sana wakati huo ujumbe unatumwa, iligundulika pia jamaaa alimchoma kwa magunia mawili ya mkaa mkewe akafukia majivu juu akamwaga zege.

Wanawake vumilieni ndoa zenu lakini ukiona mwenzako hasomeki rudi kwenu,uvumilivu unaweza kukupa umauti au kilema cha maisha.
Hahaha
 
Not to that extent!.. hata kupiga sipigi ukinishinda napita hivi
 
Back
Top Bottom