Anaglizo langu kwa watoto wa kike
...... Mwanaume sio mwenzako kwa maana hamfanani jinsia na wala hamfanani mamlaka. Mwanaume anachukulia very serious swala la kugegedana na mtu mwingine ni heri utumie pesa yake vibaya au uwe mzembe hilo ataweza kukusamehe na kukubali kukupa nafasi ya kujirekebisha ila sio u'cheat aisee.... Mwanaume akijua umelala na mwanaume mwingine na ulifanya kwa kudhamiria dada yangu sahau kusamehewa, ataliweka akili miaka yote mnaishi pamoja na hata kuwa na imani na wewe popote atapokuona ukiongea na jinsia ya kiume.....