Ndoa ni uvumilivu lakini inaweza kukaribisha umauti.

Kwa hiyo mama unajivika jukumu la U-Yesu. Unakufa kwaajili ya watoto wako na mbaya zaidi kifo hicho kinaleta maafa makubwa zaidi ya yale ambayo yangetokea kama ungewaacha walelewe na mama wa kambo
 
Salamu za warning zifikie hizo hizo ndoa chache zenye matatizo mzee
Yeah kibaya ni kugeneralize. Hawajaona hata wapenzi wa kawaida tu wasio wanandoa wanauana? Hawajasikia mtu anamuua dada yake? Mambo ya mauaji yapo kila sekta... sio kwenye ndoa pekee.

Olewa my dear mjukuu.... wasikutishe ndoa tamu sana ukimpata right partner.
 
Ndoa hizi nimependa ushauri wako wa mwisho kabisa
 
Samahani nipo nje ya mada kidogo.. Hv nyie wanaume wenzang mnawezaga vp kuwa na urafiki na wadada ad mnapigiana simu mskilize ubuyu wa clouds..
 
Huwez kuchukua sampo ya ndoa moja kuhalalisha ubaya wa ndoa, shetan amekutawala kias cha kuamini kuwa ndoa si kitu ili uwe mzinzi,

Ukatili wa mtu mmoja haimaanishi kila mmoja ni katili
Na usaliti wa mwanamke mmoja haihalalishi ujinga wa wanawake wote.

Ningekuona wa maana kama ungeeasisitiza wananandoa kuwa wazingatie mafundisho ya dini na kuwa na hofu ya Mungu wanapokuwa ktk ndoa zao

Mfano, usaliti ni kinyume cha maagizo ya Mungu ktk ndoa, na mshahara wa uahserat ktk ndoa ni mauti, pili kumsulubu mkeo kwa vipigo au ukatili ni kinyume pia cha maagizo ya ndoa

Biblia inasema, enyi wanaume wanaume wapenden wake zenu, na wanawake muwatii waume zetu

Hivyo mwanaume kumdhuru mkeo syo upendo na mke kumsalit mumeo syo utii


Ubaya wa ndoa moja hauhalalishi ubaya wa ndoa zote
 

I believe LOVE is about tolerance and not sacrifice

Mwanamke unakubali vipi kuwa na mwanamme anaekupiga inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…