Ndoa ni uvumilivu lakini inaweza kukaribisha umauti.

Ni kwel mkuu

Yani mwanamke akicheat na akijua mumewe kajua hata kama kamsemehe inabidi ajiangalie sana maisha yake
 
Kweli mkuu..hata mimi nilishasema kosa hilo sitolisamehe kamwe,ila kuuwa sio suluhisho unamrudisha tu kwao
 
Dawa ndiio hii hii. Nyie wanawake mna mambo ya ajabu sana
Yaani hiyo story nimesikiliza jana na leo wamemalizia ila huyu mkaka ni katili mno kamkatili dada wa watu jamani hata kama ni maugomvi jifunzeni kumuacha mtu aende hata kama mmetoka mbali
 
Hahaha
 
 
Not to that extent!.. hata kupiga sipigi ukinishinda napita hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…