luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,375
- 6,986
Na nafikiri kwa upande wa ukristu bibble ina maneno makali sanaa kwa wanao vunja ndoa pasipo sababu ya uasheratiSikuhizi watu wanaingia kwenye ndoa huku bado wanataka maisha ya ubachelor kwanini ndoa isife
Sasa wengi wanaoa kufuraisha jamii na sikuhizi wanaume na wanawake wanashindana kuchepuka na hawana hofu kabisaNa nafikiri kwa upande wa ukristu bibble ina maneno makali sanaa kwa wanao vunja ndoa pasipo sababu ya uasherati
Bibble ina sema mume akimwacha mke pasipo sababu ya uasherati na yule mke akakutana na mwanaume mwingine bac ni sawa na wana zini tu .....
Sababu tendo la ndoa ni zawadi kwa wana ndoa
Ndio kutokuwa na utayari apo twasemaSasa wengi wanaoa kufuraisha jamii na sikuhizi wanaume na wanawake wanashindana kuchepuka na hawana hofu kabisa
Wataendelea kuumiza watoto wasio na hatia kila siku maana sikuhizi hamna upendo watu wanaangalia masilahi yao wakikuta sivyo ndio wanaachanaNdio kutokuwa na utayari apo twasema
kila mmoja anamajukumu yake kwenye ndoa sasa niwajibu kwa kila mmoja kuyatiza ipasavyo tatizokubwa nikuepa majukumuWataendelea kuumiza watoto wasio na hatia kila siku maana sikuhizi hamna upendo watu wanaangalia masilahi yao wakikuta sivyo ndio wanaachana
Ni kauli za mtaani tu mkuu mimi niliowa nikiwa aged 27 na maisha yanasogea bila wasi,yupo bro wangu aliowa akiwa 38 sasa hivi ni kama analea wajukuu.Umri wa kuoa kwa mwanaume ni 40 above!
Kikao cha mwisho tulipitisha hili kuepuka kelele hizo zote!
KWA ndoa za sasa ni heri usingle maana waliooa ndo wanatabia chafu kushinda mabachelor, I always wonder shida huwa ni nini hasakila mmoja anamajukumu yake kwenye ndoa sasa niwajibu kwa kila mmoja kuyatiza ipasavyo tatizokubwa nikuepa majukumu
utayari unazungumziwa ni ile hali ya mtu kuitambuq na kuheshimu iyo ndoa, ndoa sio ile tafrija ya siku ya harusi ... Kuishi pamoja na mwenza ndan ya nyumba mojq hqpo sasa ndio maisha ya ndoa baada ya kuihalalishambona hata walio na utayari zinawashinda mkuu? mi nadhani wingi wa mambo katika zama zetu pia kunachangia sana kuvunjika ndoa.
mfumo wa maisha unachangia lkn maisha ya ndoa ni bora .KWA ndoa za sasa ni heri usingle maana waliooa ndo wanatabia chafu kushinda mabachelor, I always wonder shida huwa ni nini hasa
Bora usingle tuumfumo wa maisha unachangia lkn maisha ya ndoa ni bora .
Ni kweli kabisaa ndoa ikiwa ipo ktk mstari mzuri ndoa tamu sanaa,mfumo wa maisha unachangia lkn maisha ya ndoa ni bora .
Bro analeaje wajukuu, sijakuelewa.Ni kauli za mtaani tu mkuu mimi niliowa nikiwa aged 27 na maisha yanasogea bila wasi,yupo bro wangu aliowa akiwa 38 sasa hivi ni kama analea wajukuu.
Majukumu hayakimbiwi majukumu yanafuatwa kule yaliko.
huko nikuta tamaa mkuu maisha ya ndoa yapo vizazi na vizazi ila vijana wa cku hizi hamjui kucheza kwa step unaambiwa cheza kwa step.usimkanyage mwenzio inamaana hata kama mnachepuka basi iwe kwa usir mkubwa na heshima nymbn iwepo kama kawaida sasa unakuta mtu anachati na mchepuko mke au mume yupo hapo hapo kweli jamanBora usingle tuu