Ndoa nyingi kuvunjika chanzo chake ni kutokuwa na utayari

Ndoa nyingi kuvunjika chanzo chake ni kutokuwa na utayari

huko nikuta tamaa mkuu maisha ya ndoa yapo vizazi na vizazi ila vijana wa cku hizi hamjui kucheza kwa step unaambiwa cheza kwa step.usimkanyage mwenzio inamaana hata kama mnachepuka basi iwe kwa usir mkubwa na heshima nymbn iwepo kama kawaida sasa unakuta mtu anachati na mchepuko mke au mume yupo hapo hapo kweli jaman

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kuchepuka ni kuchepuka tu iwe kwa uwazi au kwa siri.tatizo hilo.
 
Na nafikiri kwa upande wa ukristu bibble ina maneno makali sanaa kwa wanao vunja ndoa pasipo sababu ya uasherati
Bibble ina sema mume akimwacha mke pasipo sababu ya uasherati na yule mke akakutana na mwanaume mwingine bac ni sawa na wana zini tu .....mathayo 19:9

Sababu tendo la ndoa ni zawadi kwa wana ndoa
Na wasio olewa wakishikwa na hamu ya kuchambuliwa kama karanga inakuwaje? Usipende kuamini sana vitabu vya dini, tumia akili yako pia. Vitabu vya dini vimeandikwa na binadamu na si Mungu.
 
Kuchepuka ni kuchepuka tu iwe kwa uwazi au kwa siri.tatizo hilo.
upo saw ila ktk maisha ni ngumu kuacha kuchepuka.ndio mana baathi ya makabila na din zimeruhusu kuowa wake wengi
 
Wengi wao matarajio na wanayoyakuta ndoani huwa tofauti..na hiyo ndiyo mbaya zaidi.
 
upo saw ila ktk maisha ni ngumu kuacha kuchepuka.ndio mana baathi ya makabila na din zimeruhusu kuowa wake wengi
Daah! Kwahiyo unahalalisha uchepukaji! Sa bora kuwa single tu ,haina maana ya ndoa,labda kwa wale wanaoruhusiwa wake wengi.hivi mtu ukichepuka unapata faida gani?
 
Daah! Kwahiyo unahalalisha uchepukaji! Sa bora kuwa single tu ,haina maana ya ndoa,labda kwa wale wanaoruhusiwa wake wengi.hivi mtu ukichepuka unapata faida gani?
halkuna sehemu nimehalisha ila nimesema uhalisia ulivyo ww ni me au ke
 
Huwez kuacha tabia yako ya asili hata ukiingia kwenye ndoa
Hujifunzi tabia mpya ktk ndoa bali utapritend tu mwanzon ila baadae utarudia haki yako halisi
 
halkuna sehemu nimehalisha ila nimesema uhalisia ulivyo ww ni me au ke
ME, nimesahau kabisa kama kuna kuchepuka,ni miaka mingi sana namfunua mwanamke mmoja tu ,sijui nimekula madawa ya limbwata!.
 
Na mwisho ni kwamba ukiona ndoa imevinjika bas tambua wote wawili mmeshindwa kuwajibikiana
 
Bora Kama mumeelewana Ila ka mko ndoani kila mtu hajali anaishi ka bachelor Bora muachane tu
Kuelewana ni lazima kwenye ndoa, kama ilivyo ktk mahusiano mazuri ya aina yoyote ile. Bila maelewano hakuna mahusiano mazuri hence hakuna ndoa. Kukosekana kwa maelewano kwa baadhi ya wanandoa isufanye tuhitimishe kuwa ndoa hazifai na bora u single parent. Ninao uzoefu wa ndoa kwa kipindi flani na ushuhuda wangu ktk ndoa ni chanya mno, hivyo msiogope kuingia huko.
 
Ndoa tamu vijana oeni ila jitahidi kuangalia mwenzi wa imani moja na hata tamaduni moja na wewe
 
ME, nimesahau kabisa kama kuna kuchepuka,ni miaka mingi sana namfunua mwanamke mmoja tu ,sijui nimekula madawa ya limbwata!.
mpo wachache ktk dunia hii ila hata shemeji anaitaji saluti kwa kuweza kukuzibiti
 
mpo wachache ktk dunia hii ila hata shemeji anaitaji saluti kwa kuweza kukuzibiti
Dah! Aiseee...tena huwa natamkiwa kabisa na wanawake ,nawakubalia,tukipanga tukutane sehemu tu,sitokei naingia mitini.

Ujanani enzi za mikaka 19 mpaka 26 hivi ,nilikuwa kiwembe vibaya mno,nilichapa mademu kijiji kizima,hadi wamama ,nilikuwa nikikatiza mitaa naimbiwa wimbo." Mtaaani kwetuu limeingia nyambiziii...tujiaadhariii tutauwawaaa,nyambiziii aaah aah ..nyambizi asimpate mtu[emoji2][emoji2]".

Iko namna huyu mwanamke amefanya sio bure[emoji2][emoji2][emoji119][emoji119]
 
Habarin wadau, kama kichwa chq habari kisemavyo

Siku za ivi karibuni kumekuwepo kwa matukio mengi ya ndoa kuvunjika ilihali zengine zikiwa bado chqnga hata miaka 2 hazija fika.
Ni wazi kushamiri kwa matukio haya kunq dhihirisha uwepo mfinyu wa utayari baina ya wanandoa , utayari una zungumziwa hapa ni kumpokea mwenza wako na mapungufu yake, uwezo wa kusamehe, kuvumilia tabia za mwenzako, utambuzi na kuheshimu ndoa bainanya wana ndoa.


N.B : hakuna takwimu halali zilizotolewa mpaka sasa, hivyo mwandishi anatumia nafharia tu.
Nani kakudanganya kuwa ndoa ni taasisi ya kulea mapungufu? Yako mambo ya msingi kwenye ndoa ili ndoa IWE HALALI. Yakikosekana hayo ndio huanza ngonjera za MAPUNGUFU.
 
Habarini wadau, kama kichwa cha habari kisemavyo

Siku za ivi karibuni kumekuwepo kwa matukio mengi ya ndoa kuvunjika ilihali zengine zikiwa bado chqnga hata miaka 2 hazija fika.
Ni wazi kushamiri kwa matukio haya kunq dhihirisha uwepo mfinyu wa utayari baina ya wanandoa , utayari una zungumziwa hapa ni kumpokea mwenza wako na mapungufu yake, uwezo wa kusamehe, kuvumilia tabia za mwenzako, utambuzi na kuheshimu ndoa bainanya wana ndoa.


N.B : hakuna takwimu halali zilizotolewa mpaka sasa, hivyo mwandishi anatumia nafharia tu.

Mapungufu gani ambayo kikawaida mtu anatakiwa kuyapokea kutoka kwa mwenza wake?
 
Back
Top Bottom