Right Marker
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 194
- 625
Uhakika, raha na starehe zako na familia yako zisababishe watu wainhie gharama za kukuwezesha kwenda kula nyabe kiurahisi.Msimamo wangu ni uleule, nachangia msiba magonjwa na matatizo mengine ya kijamii tu. Harusi, kipaimara, kumunio, birthday na takataka nyingine nisione kadi ya mchango nyimbani kwangu.