Maisha haya ni mafupi sana. Huna haja ya kujinyima raha ya nafsi yako hata kwa dakika moja.
Pwani kuna msemo kuwa "raha jipe mwenyewe". Kuna watu wanadhani wakiingia kwenye hiyo jela iitwayo ndoa watapata raha, wanaishia kupata karaha lkn wanaambiwa wavulilie. Yaani waugulievndani kwa ndani.
Mm sitaki upuuzi huu. Ndoa siitaki. Na sitaki kumtegemea mwanadamu yeyote kwa lolote lile. Kwasabb hata vitabu vya Mungu vimekataza kumtegemea mwanadamu. Mfano, kwenye biblia imeandikwa "amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwandamu".
Yaani hivi sasa naishi kwa amani na furaha tele, mara tu nianze kulivumioia li-mtu ambalo haliniongezei uhai wala pumzi!!!!! Why nilivumilie li-mtu hili?
.
Sitaki ndoa.
Kwa taarifa yenu lengo kuu la ndoa ni mnyanduano tu. Sasa mnyanduano lazima ukae na li-mtu?
My take:
Kama unabisha toa faida moja kubwa ambayo mwanandoa anaipata halafu yule asiye kwenye ndoa hapati.
(Onyo: Usilete swaga za kuwa na watoto. Watoto wanapatikana hata nje ya ndoa).