Ndoa sijui Ina nini, hata uwe na Phd Lazima ikupelekeshe

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
1. Kiufupi, hamna mjanja kwenye ndoa Lazima ikupe za uso.

2. Hii Ni kwa wote uwe na PhD au darasa la 4B, uwe Jaji Mkuu au Mkuu wa Majeshi. Lazima uchechemee kama umekanyaga kinyesi vile.

**Nimemkumbuka Mstaafu Zanzibar Komando, mke katoka nduki na penshen. bado imenona. Bashiru nae ndo hivyo. Chibu kastuka mapema.
 
2. Hii Ni kwa wore uwe na PhD au darasa la 4, uwe Jaji Mkuu au Mkuu wa Majeshi. Lazima uchuchumae!

Poleni kwa kulombewa
 
gg.jpg
 
Ndoa haihitaji utumie elimu bali akili
 
1. Kiufupi, hamna mjanja kwenye ndoa Lazima ikupe za uso.

2. Hii Ni kwa wote uwe na PhD au darasa la 4B, uwe Jaji Mkuu au Mkuu wa Majeshi. Lazima uchechemee kama umekanyaga kinyesi vile.

**Nimemkumbuka Mstaafu Zanzibar Komando, mke katoka nduki na penshen. bado imenona. Bashiru nae ndo hivyo. Chibu kastuka mapema.
Siyo kila mtu anapelekeshwa na ndoa, experience yako na challenges unazokutana nazo kwenye ndoa haziwezi kuwa sawa na za mwingine. Tuliodumu miongo miwili plus nadhani ni kwa kuwa na chaguo sahihi na hili huwa ni bahati, watu huficha tabia zao halisi lakini zile ups and downs za maisha ndiyo huziibua na kuonekana peupe. It's too bad kwa nyinyi ambao ndoa labda ni changa au mnaona kashkash wanazopipitia watu wenu wa karibu lakini kikubwa ni ukipata right choice utafurahia maisha sana na ukikosea kwenye choice utajuta ila unaweza kuachia 'bodi' tu for the sake of your mental health hata kama mna watoto kwani ndoa ya ugonvi na misukosuko huwaathiri sana watoto kuliko mkiwa kila mtu kivyake huku mkiwajali na kuwatunza kwa kuwatimizia yote yaliyo muhimu kwao.
 
1. Kiufupi, hamna mjanja kwenye ndoa Lazima ikupe za uso.

2. Hii Ni kwa wote uwe na PhD au darasa la 4B, uwe Jaji Mkuu au Mkuu wa Majeshi. Lazima uchechemee kama umekanyaga kinyesi vile.

**Nimemkumbuka Mstaafu Zanzibar Komando, mke katoka nduki na penshen. bado imenona. Bashiru nae ndo hivyo. Chibu kastuka mapema.
Ukioa mke wa mtu lazima akusumbue.

Oa bikira.
 
Back
Top Bottom