Ndoa tuiendeshe kama kazi, hizi hisia nyingi za nini?

Ndoa tuiendeshe kama kazi, hizi hisia nyingi za nini?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Ndoa ni kitu muhimu sana, maana taifa linaanzia kwenye familia. Fikiria mtu si ndugu yako hata kidogo, unamuoa mnazaa, automatically mnakuwa familia. Ndo maana wasiopenda kuoa single mothers wana point fulani maana baba mtoto anaweza kujikumbusha muda wowote si anajua pa kuanzia ogopa sana mtu anakujua in and out muda wowote anaweza kutaka penzi na anajua style gani atumie kukushawishi oa single maza Kama ni mzuri kwa malezi Ana akili Ila pia Una uwezo wa ku handle risk unajua kuna wanaume hawana noma hata mkewe akionjwa mara moja moja na wengine they don’t care …

Hawa ni watu wenye IW kubwa wanajua hata ukioa mwanamke ambaye si single mother hujapewa guarantee ya kutocheatiwa? Hawa wanawake ni binadamu kama sisi, wana tamaa kama sisi. Tatizo sisi wanaume tumehalalisha uzinzi wetu tunajiona wajanja sana kupeleka moto kila sehemu kumbe na sisi tunapigiwa kimya kimya, wenzetu wanaficha ma file vizuri kuliko sisi.

Sasa ndoa iendeshwe kiprofessional kama kazi lengo iwe ni watoto, zaeni mtuletee watu wa kujenga taifa.kwa sababu me najua mapenzi huwa yanaisha mkizoena baada ya muda mnarudi kwenye nature Siyo unaingia ndoa halafu unajipa kazi ya CID unachunguza simu, last seen na meseji Unamchunga mtu umemkuta na miaka 25, huko nyuma alikuwa anafanya nini hujui, leo unataka kuwa security guard wake wa maisha?Kaka Usije ukafa kwa presha ukamwacha mwenzako anaolewa tena. Tutimize majukumu, heshimianeni, mengine msijipe kazi ya Mungu.

Hii ni kutoka kwa experience yangu nilikuwa na mwanamke almost kila siku nampatia hako yake tuliishi miaka miwili but huwezi amini siku moja nilimfania live yuko chumbani kwa mpangaji mwenzangu aisee Mimi nilikuwa naamini tupo kipindi cha kutafuta mtoto so daily napeleka fire na mashine sio haba sio ki ba100 nikaamoni hawezi toka nje aisee hawa viumbe wana vitu vya I vingine anaweza kumpenda msela kwa ishu nyingine tu na ubaya hawa watu hata mkiwa watano wote mtapendwa wote mtakatikiwa wote mtapewa yote hahahahahah Mungu ametuwekea system ya maisha tata yaaani siku za ku enjoy zinakuwa chache za kuteseka ndo nyingi
 
Back
Top Bottom