Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
ivi ulimsikiaga maimartha alivyosema mwezi huu wa ramadhan mkorogo utamkoma? halafu si nasikiaga anauza ma dildo yule
Huyo alipata gundu baada kumsaliti mchops na kutembea na HANDSOME,BABA YA MUZIKI,BABY D ANTA...DULLY SYKES..
we acha tu binamu nimevamiwa na boko haramu, jana nilimiita mume wa mbasha mapu.... ndo eti nikapewa ban leo
mama na kijana wake..................
alivyoumuka kama kiti moto bado anataka kuongeza tena....
ama kweli weupe ungekua dili ubuyu usingepakwa rangi
Ushatafuna dida?
Who is mchops anyway?
Weupe ungekuwa dili usinge kaa unyayoni
na nyie vijana msipende kulelelewa matokeo yake ndio hayo unakimbia na begi lako kwenye kibajaji
Dida wa mchops....dida wa G,mama Edze j4.,...cjui sasa anaenda kuwa dida wa nani tenaa
Sent from my iphone using jamii forum
Noma sana..sijui kama alikumbuka kuchukua chaja zake za simu zenye pasiwedi.
How old is she kwani?
Kinajilipua mamikorogo duu
Atakuwa Dida wa Dengue.
umri umeenda pale....
sijajua age yake kamili
alivyoumuka kama kiti moto bado anataka kuongeza tena....
ama kweli weupe ungekua dili ubuyu usingepakwa rangi
na nyie vijana msipende kulelelewa matokeo yake ndio hayo unakimbia na begi lako kwenye kibajaji
Asikuchoshe huyo dida.... akikuchosha tupa kule vuta mwingine
Halafu mwanamke hapigwi na mkanda...anapigwa na kluger