Ndoa ya 3 ya Dida yavunjika..

dida mtata yule anatiaje "kiatu alichovaa mwenzio hujui kimembanaje"nilichekaaa hadi bas!

yule anamineno ya shombo balaa....no wonder ndoa zinamshinda...wengine hawajaumbiwa ndoa jamani...mana naona wanawake tunapenda kukariri sana.
 
midomo ya watu mibaya jamani, yaani hii ndoa ilivunjwa na midomo ya watu tangu siku ya kwanza ilipotangazwa!!!

Chezea watu wewe , wambea, wachawi na wachongonishi
 
we acha tu binamu nimevamiwa na boko haramu, jana nilimiita mume wa mbasha mapu.... ndo eti nikapewa ban leo

wamekuban ya miezi mingapi binam?
pole lakini bhana.. kuna mamodereta wana ID nyengine, ukimkera tu anaingia na kitufe cha umodereta!
 
haha kurumbembe nimechekaje

Dida atakuwa ana laana ya ukoo, maana haiwezekan ndoa ya tatu inavunjika tena kuivunja mwenyew kwa kudai talaka halafu hata hajishtukii, inabidi wambea tuingie mzigoni tuchunguze historia ya familia yake, maana sio tunachamba apa mpaka hasubuhi kumbe ni laana ya ukoo na usikute kwenye ukoo wao hakuna ndoa, maana tukisema umalaya huu utakuwa umevuka mipaka sio umalaya huu, ngoja niingie mzigon, kesho hasubuh naenda mitaa ya mwananyamar nikapeleleze umbea
 

binamuuuu
 

mkuu wewe ndo utakuwa una tatizo...aidha mashine kibamia,pumzi huna au una kiharufu.....ukiwa una stamina,pumzi na mshedede wa kibaba mtoto wa kike kwenye 6 kwa 6 hawezi kuleta story zisizohusiana zaidi ya miguno ya utamu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…