Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
na yeye sasa atafute wa size yake....... mtoto mdogo kwenda kuoa mtu aliyeshindwa ndoa mbili?tena asa hvi na vijembe vile vya kurusha jiwe gizani mbona kajiju bwana edzen mwaka huu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na yeye sasa atafute wa size yake....... mtoto mdogo kwenda kuoa mtu aliyeshindwa ndoa mbili?tena asa hvi na vijembe vile vya kurusha jiwe gizani mbona kajiju bwana edzen mwaka huu!
dida mtata yule anatiaje "kiatu alichovaa mwenzio hujui kimembanaje"nilichekaaa hadi bas!
we acha tu binamu nimevamiwa na boko haramu, jana nilimiita mume wa mbasha mapu.... ndo eti nikapewa ban leo
hivi yule kijana anayehost kipindi na kidot pale tv one ndio alilioa hili kulumbembe? kama ndiyo yeye basi uchawi upo duniani.
haha kurumbembe nimechekaje
Dida anajchubua mpk ananukia mishikaki!
Khaaaaa!
Dida atakuwa ana laana ya ukoo, maana haiwezekan ndoa ya tatu inavunjika tena kuivunja mwenyew kwa kudai talaka halafu hata hajishtukii, inabidi wambea tuingie mzigoni tuchunguze historia ya familia yake, maana sio tunachamba apa mpaka hasubuhi kumbe ni laana ya ukoo na usikute kwenye ukoo wao hakuna ndoa, maana tukisema umalaya huu utakuwa umevuka mipaka sio umalaya huu, ngoja niingie mzigon, kesho hasubuh naenda mitaa ya mwananyamar nikapeleleze umbea
kama unasikilizaga kile kipindi chake cha taarabu basi ndio maneno yake akiwa chumbani haswa kwenye 6 kwa 6 ana mauzi flani hivi ya ndani kwa ndani anapenda kukusema vibaya hata kwa jambo dogo nilitembea nae siku moja but sikuinjoy kabisa nilikereka sana