Cheti cha ndoa anatoa nani? Kama ukikuwa haujui cheti cha ndoa ni kile kile,ufunge kanisani, msikitini,bomani mtoaji ni mmoja ila wahudumu tofauti.Wakuu wabobezi habari za asubuhi. Napenda kuuliza, ikiwa nimefunga ndoa ya kiserikali na ikafikia wakati tukawa tumetengana na mwenzangu kwa maana ya kuachana japo tuna watoto, naruhusiwa kufunga ndoa ya kidini na mwanamke mwingine bila ya kutengua ndoa ya awali ya kiserikali?
Ndoa zote ni za serikali. Na talaka sio rahisi jinsi unavyosema na kuandikaUzuri wa ndoa ya serikali inaruhusu talaka, mpige talaka ya maandishi ili uwe huru zaidi.
Ndoa ya pili ni batiliNawaelewa wakuu. Nimesikia asubuhi leo kwenye redio, hakimu akihojiwa na kusema kuwa aliyefunga ndoa ya serikali na mbeleni huko akaamua kufunga ya kidini na mwanamke mwingine utaratibu wa mgawanyo wa mali na matunzo utazingatiwa. Sikusikia akizungumza kuhusu kuvunja yakwanza ambayo ni ya bomani
Ndoa ya serikali haina talaka ya maandishi bali ni process za mahakamaniUzuri wa ndoa ya serikali inaruhusu talaka, mpige talaka ya maandishi ili uwe huru zaidi.
Una chet cha ndoa? Ili twende sawaSawa zote ni za serikali Ila ndoa za kanisani hazina mkataba, serikalini ninaweza kuchagua ya mkataba. Palipoandikwa alichounganisha Mungu asitenganishe binadamu panakaririwa sana na waumini.
Ni kweli kabisa,kufunga rahisi lakini talaka ni process ndefuNdoa ya serikali haina talaka ya maandishi bali ni process za mahakamani
Yote kwa yote, kufunga ndoa nyingine hakubatilishi ama kuvunja ndoa ya awali, kinachovunja ndoa ni talaka tu inayotolewa na mahakama.Wakuu wabobezi habari za asubuhi.
Napenda kuuliza, ikiwa nimefunga ndoa ya kiserikali na ikafikia wakati tukawa tumetengana na mwenzangu kwa maana ya kuachana japo tuna watoto, naruhusiwa kufunga ndoa ya kidini na mwanamke mwingine bila ya kutengua ndoa ya awali ya kiserikali?
Ndoa ya kimila inafungwa kufuata mila na desturi husika ina hadhi kama ndoa ya kiserikali yaani ya bomani.Ndoa ya Kimila/ Bomani ikoje? Na Ina tofauti zipi na hizi ndoa nyingine?? Naomba shule tafadhali.
Yenyewe Haina Cheti cha Ndoa?? Niliona hapo juu Kuna mtu ali-comment hivi.Ndoa ya kimila inafungwa kufuata mila na desturi husika ina hadhi kama ndoa ya kiserikali yaani ya bomani.
Yenyewe inaweza ikasijiliwa ikawa na cheti pia yes....Yenyewe Haina Cheti cha Ndoa?? Niliona hapo juu Kuna mtu ali-comment hivi.