everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
Hongera flavy mwanaume handsome sana kuzidi uzuri wa mkewe. Mungu awatangulie kwenye maisha yenu mapya.
Duhh!!! Macho yanatofautiana....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera flavy mwanaume handsome sana kuzidi uzuri wa mkewe. Mungu awatangulie kwenye maisha yenu mapya.
wanawake wazuri wazuri wameolewa, wamebaki..............wanaangaikaa nimeikumbuka hii nyimbo sijui nani wale walioimba
Ni kweli kabisa especially kwenye baadhi ya criteria.Duhh!!! Macho yanatofautiana....
Natural hupendeza na kuweka uhalisia yani angejipodoa na kujizidisha kama wengine. Ingepoteza mvuto even dress lake zuri nimelipenda.hongera zake le super mrembo..hiyo low cut imenikosha..ni mwendo wa kuwa naturalista...umependeza mno kila lakher kwenye ndoa yako Mrs Massawe...
Natural hupendeza na kuweka uhalisia yani angejipodoa na kujizidisha kama wengine. Ingepoteza mvuto even dress lake zuri nimelipenda.
Kweli the dress is classy kapendeza sana sijui nani alimpa muono wa dress. Mweeh kama hujapata ndoa lazma kiume haya mambo yanaenda na bahati aisee. Hao wanaomuombea mabaya washindwe walitaka siku zote ahangaike ili wafurahi.classy..afu jaman ambao hawajapata ndoa roho zinawauma my dia..teh wanamuombea mwenzao mabaya...mungu atawalipa aisee karma z a bytch...
Kweli the dress is classy kapendeza sana sijui nani alimpa muono wa dress. Mweeh kama hujapata ndoa lazma kiume haya mambo yanaenda na bahati aisee. Hao wanaomuombea mabaya washindwe walitaka siku zote ahangaike ili wafurahi.
Kweli eve collections nampa heshima yake kwa hilo gauni. Tupia basi picha nyingine. Mweeh ana bahati kuolewa mapema kweli hyo ya mbona hana bahati tu aisee kuvaa shela kunatoa mkosievecollections ndo mpango mzima...kuanzia yeye na vile vtoto yaan ilikua super..teh wengine wanakimbilia kumimbwaa hehee na ndoa bado hawazioni..mwee tumpe sifa zake bintii matata ndoa bahat..siunaona mama tok show kaangukia pua kwa chief kiumbe...holaaaa😀😀
Hili gauni zuri aisee ka la Cate Middleton kwenye harusi na prince William.diva beyonce...hizoo
Hili gauni zuri aisee ka la Cate Middleton kwenye harusi na prince William.
Mwili uko vizuri umeendana na gauni lake. Wembamba sometimes una advantage anaonekana mdogo.exactly copy n paste teh...ila mwil nao unaruhusu..amelitendea hak
Mwili uko vizuri umeendana na gauni lake. Wembamba sometimes una advantage anaonekana mdogo.
Watu na miili yao aisee sio tu kijuso Bali kibaby face flani amazing mi makeup iliyokithiri na mikorogo inakomaza maduu wengi aisee. Pia na roho ikiwa ya kwanini hupendezi ng'o. #BlackIzBeautynot only mwili but also kajuso kazuri haka..haujakomazwa na mableach teh mtoto chocolate...mrz massawe teh...kibabe face...hahaa diva beyonce nan kanunaa😀😉
Mimi wanaume siwaelewagi na sitowaelewa.Deo kiboko congratulations hahahahaha.Kweli NDOA waingiao ni wapofu wakianza kuona wanagundua mengi .Dah shocking
hongera zake le super mrembo..hiyo low cut imenikosha..ni mwendo wa kuwa naturalista...umependeza mno kila lakher kwenye ndoa yako Mrs Massawe...
Kwa kweli yupo vzr sana, pia kuolewa na mume kijana kuna raha yake