Ndoa ya Flaviana Matata

wanawake wazuri wazuri wameolewa, wamebaki..............wanaangaikaa nimeikumbuka hii nyimbo sijui nani wale walioimba

Haahaaa mkuu...malizia tu MANUNGAYEMBE..!!
 
hongera zake le super mrembo..hiyo low cut imenikosha..ni mwendo wa kuwa naturalista...umependeza mno kila lakher kwenye ndoa yako Mrs Massawe...
Natural hupendeza na kuweka uhalisia yani angejipodoa na kujizidisha kama wengine. Ingepoteza mvuto even dress lake zuri nimelipenda.
 
Natural hupendeza na kuweka uhalisia yani angejipodoa na kujizidisha kama wengine. Ingepoteza mvuto even dress lake zuri nimelipenda.

classy..afu jaman ambao hawajapata ndoa roho zinawauma my dia..teh wanamuombea mwenzao mabaya...mungu atawalipa aisee karma z a bytch...
 
classy..afu jaman ambao hawajapata ndoa roho zinawauma my dia..teh wanamuombea mwenzao mabaya...mungu atawalipa aisee karma z a bytch...
Kweli the dress is classy kapendeza sana sijui nani alimpa muono wa dress. Mweeh kama hujapata ndoa lazma kiume haya mambo yanaenda na bahati aisee. Hao wanaomuombea mabaya washindwe walitaka siku zote ahangaike ili wafurahi.
 
evecollections ndo mpango mzima...kuanzia yeye na vile vtoto yaan ilikua super..teh wengine wanakimbilia kumimbwaa hehee na ndoa bado hawazioni..mwee tumpe sifa zake bintii matata ndoa bahat..siunaona mama tok show kaangukia pua kwa chief kiumbe...holaaaaπŸ˜€πŸ˜€
 
Kweli eve collections nampa heshima yake kwa hilo gauni. Tupia basi picha nyingine. Mweeh ana bahati kuolewa mapema kweli hyo ya mbona hana bahati tu aisee kuvaa shela kunatoa mkosi
 
diva beyonce...hizoo
 
Attachments

  • 1439666142506.jpg
    37.1 KB · Views: 2,488
  • 1439666167078.jpg
    35.4 KB · Views: 2,388
  • 1439666186169.jpg
    27.1 KB · Views: 2,570
  • 1439666206752.jpg
    23.4 KB · Views: 2,417
not only mwili but also kajuso kazuri haka..haujakomazwa na mableach teh mtoto chocolate...mrz massawe teh...kibabe face...hahaa diva beyonce nan kanunaaπŸ˜€πŸ˜‰
Watu na miili yao aisee sio tu kijuso Bali kibaby face flani amazing mi makeup iliyokithiri na mikorogo inakomaza maduu wengi aisee. Pia na roho ikiwa ya kwanini hupendezi ng'o. #BlackIzBeauty
 
Mimi wanaume siwaelewagi na sitowaelewa.Deo kiboko congratulations hahahahaha.Kweli NDOA waingiao ni wapofu wakianza kuona wanagundua mengi .Dah shocking

Natalia tutoe inbox !!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
hongera zake le super mrembo..hiyo low cut imenikosha..ni mwendo wa kuwa naturalista...umependeza mno kila lakher kwenye ndoa yako Mrs Massawe...

Kwa kweli yupo vzr sana, pia kuolewa na mume kijana kuna raha yake
 
Kwanini nijibane bana ! Mi nasema ukweli wangu kutoka moyoni "Hakyamungu tena mi naona wivu !"
 
Nawatakia kila la kheri. Hi thread imeingiliwa na mashambenga na manunga embe ambao hawatasikia ndoa daima.

Kila kheri dada flavy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…