Kwanini atakua phala
39 yrs..! No kid. Ujinga kabisa.
Flaviana amemaliza form four 2002 inamaaana alikuwa na miaka 14?12 year different ni kijana lol .Deo 1976 flaviana 1988.lol
Mtu akiwa mweupe tu ni mzuri,wanawake bana, ndio maana hamuachi kujikoboa mkiamini weupe ndio uzuri,sijui nani kawaroga wanawake wa kiafrika.Anaolewa na brother men Deo masawe mwanaume wa grace muro .Deo na Grace on and off on and off.Grace kaolewa na tycoon m Nigeria .Brother men huyoooo uwiiii .Aliachwa na grace kwa Sababu alikuwa cheap .Grace high maintenance mzuriiii grace mweupeee.Nitawatushia picha ya grace .
Nawatakia kila la kheri. Hi thread imeingiliwa na mashambenga na manunga embe ambao hawatasikia ndoa daima.
Kila kheri dada flavy
Sio hawataki ndoa,wanazitaka sana sema hawaoleki,hawavutii nahawana nyota ya ndoa sasa wwmebaki sizitaki mbichi hizi lkn deep inside wanazitaka hata kwa waganga na wachungaji huwa wanaenda basi tu wana nyota za kua michepuko.
Grace ndio nani ati?Wacha wee, shemeji anapiga mishe gani?
Sasa hapo ulipotilia msisitizo kuwa Grace mzuriii, mweupeee akina cheusi dawa imetugusa.
Grace ndio nani ati?
12 year different ni kijana lol .Deo 1976 flaviana 1988.lol
Hahahahahahahahahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hongera flavy mwanaume handsome sana kuzidi uzuri wa mkewe. Mungu awatangulie kwenye maisha yenu mapya.
Flaviana hajazaliwa 1988... anzia 1984 kurudi nyuma...eeh lazima tuwe wakweli ata tukionekana tuna wivu poa tu
Nani arudi huyo flaviana au deoArudi sasa chuo cha ufundi Arusha akafanye supplimentaries zake.
Nawatakia kila la kheri. Hi thread imeingiliwa na mashambenga na manunga embe ambao hawatasikia ndoa daima.
Kila kheri dada flavy