Trayvess Daniel
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 651
- 1,244
Small mind at work!! Always discuss people..ndo bongo haiendelei, great thinkers ndo hawa.
Wikipedia page Yake wameandika 1988.Na Deo mshikaji wangu kwa taarifa yako .
Wikipedia page Yake wameandika 1988.Na Deo mshikaji wangu kwa taarifa yako .
Kweli kaka Deo mshikaji wako lakini hapa tuna mjadili Flaviana Matata na mpaka Matata kafikia umri huo kakutana na watu mbalimbali katika Maisha yake flaviana Matata kamaliza Kowak Girls 2012 akiwa na miaka 17 kwani kazaliwa 1985 hutaki tambaaaa
AY katoswa?
Ha ha haaa... Watu mnazo data humu yani balaa hadanganyiki mtu yaniKweli kaka Deo mshikaji wako lakini hapa tuna mjadili Flaviana Matata na mpaka Matata kafikia umri huo kakutana na watu mbalimbali katika Maisha yake flaviana Matata kamaliza Kowak Girls 2002 akiwa na miaka 17 kwani kazaliwa 1985 hutaki tambaaaa
Hata kama she is 30 or what she is looking so your , cutest, lovable n everything..so really on her beauty.. I real like her style
du!..hili yai,VIZA!
Mimi wanaume siwaelewagi na sitowaelewa.Deo kiboko congratulations hahahahaha.Kweli NDOA waingiao ni wapofu wakianza kuona wanagundua mengi .Dah shocking
Mimi mwenyewe sijazaliwa 1988 ila huyu dada anamaliza Makongo A level aliniacha mimi niko form three (3) nadhani.Wikipedia page Yake wameandika 1988.Na Deo mshikaji wangu kwa taarifa yako .
Huyo njaa kali..
Mimi mwenyewe sijazaliwa 1988 ila huyu dada anamaliza Makongo A level aliniacha mimi niko form three (3) nadhani.
Kweli kipi bora; kuwa na miaka 30 but U look 18 au kuwa18 huku unafanana na 40s...Hata kama she is 30 or what she is looking so your , cutest, lovable n everything..so really on her beauty.. I real like her style
Mimi mwenyewe sijazaliwa 1988 ila huyu dada anamaliza Makongo A level aliniacha mimi niko form three (3) nadhani.