du!..hili yai,VIZA!
hongera kwa ndoa ila msipende kudanganya umri mapimbi nyieer
hahaha...,sasa kwanini yanadanganya umri?
si waonekane watoto kila siku haswa hawa waliotoboa kimataifa,flavy alianza kusema amezaliwa 1987 leo1988 hv nafs haziwasutiii.
si waonekane watoto kila siku haswa hawa waliotoboa kimataifa,flavy alianza kusema amezaliwa 1987 leo1988 hv nafs haziwasutiii.
kusema ukweli ndo roho mbayaaaa....Watu mna roho mbaya
kwa sababu za kibiashara, si unajua flavian ni model
Ila huyu mwanaume naona kama analelea vile.
Wanaume wazuri hawahongagi asilani.
Anaolewa na brother men Deo masawe mwanaume wa grace muro .Deo na Grace on and off on and off.Grace kaolewa na tycoon m Nigeria .Brother men huyoooo uwiiii .Aliachwa na grace kwa Sababu alikuwa cheap .Grace high maintenance mzuriiii grace mweupeee.Nitawatushia picha ya grace .
Mkuu umeona yan kuna wanawake wanaroho za kichawi..washaanza umbea
I thought fyose wa atl
I thought fyose wa atl
Alikuwa anakaa Seattle Washington state alivyoachwa na grace akahamia Atlanta