Ndoa ya Flaviana Matata

Ndoa ya Flaviana Matata

hongera kwa ndoa ila msipende kudanganya umri mapimbi nyieer
 
hahaha...,sasa kwanini yanadanganya umri?

si waonekane watoto kila siku haswa hawa waliotoboa kimataifa,flavy alianza kusema amezaliwa 1987 leo1988 hv nafs haziwasutiii.
 
Ila huyu mwanaume naona kama analelea vile.
Wanaume wazuri hawahongagi asilani.
 
Ila huyu mwanaume naona kama analelea vile.
Wanaume wazuri hawahongagi asilani.

Grace very high maintenance .Deo pesa anahesabu chenji ila bonge la brother men .Grace harudii pair ya viatu .kwa mwezi alikuwa anataka pair 60 za viatu.Asubuhi , mchana na jioni na nguo harudii.Deo alikuwa anakabithi paycheck Seattle Washington .Grace haongeagi na watu wasio na masters degree.Deo na Grace on and off .Tunawaitaga LOVE IN BOMBAY
 
Anaolewa na brother men Deo masawe mwanaume wa grace muro .Deo na Grace on and off on and off.Grace kaolewa na tycoon m Nigeria .Brother men huyoooo uwiiii .Aliachwa na grace kwa Sababu alikuwa cheap .Grace high maintenance mzuriiii grace mweupeee.Nitawatushia picha ya grace .

I thought fyose wa atl
 
Mrembo akiolewa piga sara tisa maana hawaolewagi hawa mpaka wazalishwe au waolewe vizee
 
Back
Top Bottom