Segito wa Kalenga
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 609
- 864
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uniwache beeWe muhehe wa Kalenga kwa kina Sekalinga mnafikiiiii.....Khaaa ndio leo naona Mhehe mbea kama wewe loooh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uniwache beeWe muhehe wa Kalenga kwa kina Sekalinga mnafikiiiii.....Khaaa ndio leo naona Mhehe mbea kama wewe loooh
Kweli kabisaInabidi mjifunze jinsi ya kutofautisha, kuna mwanamke wa bata na mwanamke wa kuoa
Jamani punguzeni ukali wa manenoHaaa! huyu ndie mkewe Hando?! Yaani ndie bi harusi huyu pembeni ya lulu?! Mi nilidhani ni mama daimond nae ni mmoja kati ya waalikwa?! Haya jamani hongera zao .
Khaaaa bee!!Wina kipepele kweli wewe loooh!!!Ha ha ha ha ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uniwache bee
Mi nimekunukuu wewe mwenyewe, kwani ndie uliendika hapa kwe huu uzi,sasa kama unamkana sawa.eheheee uliniona nae?
Kaka yani tuna date ma bonge but tunaoa VimodoMkuu mtoto mkali sana huyo jamaa sijui kwanini kaamua kuchukua kimbaumbau
soma maelezo kakaMiss Natafuta hiyo picha ya demu bonge ni ya nani?? Ninavyomjua ndugu yangu anapenda vidogo dogo
Wapiii tatizo mnachagua sana, thus why tukiona dalili mbovu basi tunawahi treni,unadhani kwa nini ndoa nyingi siku hizi hazidumu? unakuta mkaka kaacha wadada mia na pete zao sasa wanalaani yaani anakuwa hana amani na ndoa anaweweseka tu laana ipo mkuu
Atapata tumuombee naye acheze kwaitohakunaga ubinamu wa hvo bna
ila esta mzuri atapata tu bwana
Mikia yao ndo inayowatisha waoaji[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Wanawake wenye mikia sijui kwanini hawaolewi.....
kuna mtu hachaguiWapiii tatizo mnachagua sana, thus why tukiona dalili mbovu basi tunawahi treni,
halafu kumbe bibi harusi katokea marekani hana hata miezi miwili nchiniAtapata tumuombee naye acheze kwaito
Hakuna binadamu anayeweza kubadili asili yake sababu ya ndoa,,msijidanganye hapo kwamba ukiolewa utatulia,tulia sasa kabla hujaolewa watu tuone..kuna wanawake ni maisha tu ila wakiolewa wanatulia mkuu