Ndoa ya Gerald Hando yaacha majonzi kwa wadada

Ndoa ya Gerald Hando yaacha majonzi kwa wadada

yaani ndo maana mimi sina mpenzi mpaka uzee huu maana moyo wa mwanaume ni choo cha mavi
Wee nawe mbona hueleweki ?si mesema unae Msukuma asiyekula wali bali anapenda ugali wenye unga mchanganyiko? sasa huyo ni nani?au huyo ni kwa kwa ajili ya kupozana mihemko?
 
Wee nawe mbona hueleweki ?si mesema unae Msukuma asiyekula wali bali anapenda ugali wenye unga mchanganyiko? sasa huyo ni nani?au huyo ni kwa kwa ajili ya kupozana mihemko?
eheheee uliniona nae?
 
Nasikia Mariam Kitenge ni mgonjwa wa Figo ndiyo maana afya yake siyo rafiki Sana. Bibie kwao wako vizuri Sana hawana njaa hapo Hando kafata mpunga na si mapenzi.
kwaiyo jamaa kamuoa fasta mgonjwa ili akife ale mafao au?
 
kwaiyo jamaa kamuoa fasta mgonjwa ili akife ale mafao au?
Hizo ndo story zilizo chini ya kapeti. Yupo kimaslahi zaidi... Japo wanasema eti estadalali ni binamu yake lakini mmmh ucousin huo wa kizungu kibongobongo umeanza lini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila cousin wanakulaga
 
hakunaga ubinamu wa hvo bna
ila esta mzuri atapata tu bwana
 
Mkuu mtoto mkali sana huyo jamaa sijui kwanini kaamua kuchukua kimbaumbau
Tatizo huyu demu mapepe sana....Halafu muhongaji kwa "vitoto"
Huyu ni kubisha hodi na kusepa....Sio wa kukaa sebuleni kukaribisha wageni.Hata walevi wanajuwa kutofautisha wa kusindikiza kunywa bia na "wife material"
 
Huu ndio uanaume kufanya maamuzi magumu.. Unapiga chini mapichapicha wote unaeka ndani mama wa familia.
 
Back
Top Bottom