Ndoa ya Gerald Hando yaacha majonzi kwa wadada

Ndoa ya Gerald Hando yaacha majonzi kwa wadada

Ndo kafa aisee

Ndio hivyo. Wanaume wamekuwa wavivu sana wapenda kulelewa.

Mwanamke kama huna maokoto ama hutoki familia bora zenye maokoto. Ndoa utaishia kuziona kwa wenzako tu.

Wanaume wavivu sana. Mtu yupo tayari amuache mwanamke wake mwenye tabia njema ili akaoe mwanamke mwenye hela
 
Hata kama Mwanamke Tabia

Jamaa Kaacha kuoa Kibonge mtamu minyama , kakimbilia kuoa Mti mkavu.


Kweli uchawi upo
Esta mwenyewe ukimuona sasa hivi utajua kama amewahi kuwa kibonge? Cha uturuki kimepita amekuwa kipotabo na kitako cha uchokozi, utamtaka tu! 😜
 
Mti mkavu anafanya kazi TRA .

Wanaume wa siku hizi kwenye kuoa wanatazama sana maokoto ya mwanamke wanaemuoa
Hata Esta pesa anayo sana now, mtoto wa mjini yule alifulia kwa muda 😅 Hando arudi tu wakaendeleze walipoishia.
 
Hata Esta pesa anayo sana now, mtoto wa mjini yule alifulia kwa muda 😅 Hando arudi tu wakaendeleze walipoishia.

Wanawake nawaonea huruma sana. Wanaume wa kizazi hiki wavivu sana wanapenda sana kulelewa.

Kama mwanamke huna hela unakimbiwa fasta.

Wanaume wamekuwa kama anko shamte
 
Sio wa sport sport siku hizi .hando atasubiri sana
Safi sana

Kumbe yule mke ni ndugu na maulidi kitenge?

Na mbona ana jina la kiume?au mshamba?
 

Attachments

  • Screenshot_20240130-163131.jpg
    Screenshot_20240130-163131.jpg
    96.3 KB · Views: 8
Back
Top Bottom