Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Ndo kafa aiseeMti mkavu anafanya kazi TRA .
Wanaume wa siku hizi kwenye kuoa wanatazama sana maokoto ya mwanamke wanaemuoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo kafa aiseeMti mkavu anafanya kazi TRA .
Wanaume wa siku hizi kwenye kuoa wanatazama sana maokoto ya mwanamke wanaemuoa
😅😅Hongera bestNimejishangaaa yaani.kweli nimekua mkuu
Ndo kafa aisee
Jamaa alikuwa anatuburudisha na riwaya zake huyu aliumwa ghafla tuDuh mwenye hii comment nae ni marehem 🙄😳😀
Esta mwenyewe ukimuona sasa hivi utajua kama amewahi kuwa kibonge? Cha uturuki kimepita amekuwa kipotabo na kitako cha uchokozi, utamtaka tu! 😜Hata kama Mwanamke Tabia
Jamaa Kaacha kuoa Kibonge mtamu minyama , kakimbilia kuoa Mti mkavu.
Kweli uchawi upo
Hata Esta pesa anayo sana now, mtoto wa mjini yule alifulia kwa muda 😅 Hando arudi tu wakaendeleze walipoishia.Mti mkavu anafanya kazi TRA .
Wanaume wa siku hizi kwenye kuoa wanatazama sana maokoto ya mwanamke wanaemuoa
Hata Esta pesa anayo sana now, mtoto wa mjini yule alifulia kwa muda 😅 Hando arudi tu wakaendeleze walipoishia.
Hando sio level zake tena.esta kawa.don siku hizo na uzuri anaoHata Esta pesa anayo sana now, mtoto wa mjini yule alifulia kwa muda [emoji28] Hando arudi tu wakaendeleze walipoishia.
Sio wa sport sport siku hizi .hando atasubiri sanaImebidi nikamtafute nikamuona sio mchezo
Ana mtt naona anapost [emoji28]
Safi sanaSio wa sport sport siku hizi .hando atasubiri sana
Kifutu anarudiwa?Kifutu kapigwa chini, atakonda.....