ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,451
- 2,348
uyo dogo katumika t wanatuzuga,,..uyu kaolewa na yule mwarabu yule alomchora tatoo..kitambo t jamaa yupo nae.Kaolewa na dogojanja hadi zamaradi kawapa pongezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uyo dogo katumika t wanatuzuga,,..uyu kaolewa na yule mwarabu yule alomchora tatoo..kitambo t jamaa yupo nae.Kaolewa na dogojanja hadi zamaradi kawapa pongezi
Eti Wanadai irene km zime hit mamilion +...................Hivi kwa nini watu wanamshambulia sana Irene hivi nyie wanaume wa hum mna akili kweli? Hao mademu zenu mbona na ninyi mnawala ila akiliwa Irene ndo anaonekana wa ajabu[emoji57] [emoji57] [emoji57] acheni ushamba
Inawezekana labda katumwa amuoe kama yule bwana wa aunt alivyomtuma rafiki yakeuyo dogo katumika t wanatuzuga,,..uyu kaolewa na yule mwarabu yule alomchora tatoo..kitambo t jamaa yupo nae.
inaruhusiwa kuoleana mkuu?Inawezekana labda katumwa amuoe kama yule bwana wa aunt alivyomtuma rafiki yake
Acha kujifanya mjuaji,unajuwa sharia za ndoa katika uislamHakunaga ndoa ya mwarabu na mswahili, wewe chunguza kwa makini, hao waarabu wenyewe kuna koo wanabaguana huwezi kuoa labda uwe tajili kama huyu.
Ukishaona ndoa yenyewe inafanywa siri basi ujuwe jamaa anataka tu kuhalalisha kidini lakini hiyo ni nyumba ndogo tu, hana urithi wowote wa mali.
Acha kashfa ww! Mie babangu mwarabu mama yangu mnyamwezi wameoana hadi baba kafariki wako kwenye ndoa.Waarabu wanatudharau sana watu weusi hakunaga ndoa ya mswahili na Mwarabu ni nguvu ya pesa tu.
Acha kashfa ww! Mie babangu mwarabu mama yangu mnyamwezi wameoana hadi baba kafariki wako kwenye ndoa.Waarabu wanatudharau sana watu weusi hakunaga ndoa ya mswahili na Mwarabu ni nguvu ya pesa tu.
Yes ndugu au rafiki anaweza kukuwakilisha kama una udhuru..inaruhusiwa kuoleana mkuu?
mkuu ile iliyofanyika ni reception tu sio ndoa,na kiislam haitambuliki ni mambo ya maamuz t kufanya au kutofanya,kiislamu ndoa inafungwa popote either kwa siri au watu wakishudia muhim awepo shekh muowaji,muolewaji au mwakilish wake.. hiyo ndoa itakua ishafungwa na jamaa katulia tu anamsubiri mke wake,,yule dogo wamemtumia t kuzuga watuinaruhusiwa kuoleana mkuu?
Haya ni yako..ukiona kimezeeka wengine wanaona kipya!! Mbona binadamu mwenzenu kupata neema inawauma sana wakuu!!! Siku hizi wanasema mnawashwawashwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani kuna,watu wana hatari sana..demu limeungua hili kitambo limekaa mwananyamala kwenye councelling 4 months ..wakina nditi wa katalunya wamefumua marinda na kulipaka upupu mpka basi leo mtu anaoa..vijana wa siku hizi kufa hawaogopi kabisa
Tishaaaaa jiraniJirani ubuyu moto kama huu nawahi siti za mbele kabisa nishuhudie movie vizuri
Mbona dogo janja afadhali kama ni kweli. Chibu na Zari 1989 na 1980Miaka 22 vs miaka 29,kifaranga kumpanda mama yake ndo nini?!![emoji53][emoji53][emoji53]
Dai na zari wamepishana miaka mingi zaidi ya hao hawajafika miezi 6sipati picha dogo janja na huyo nibibie sijui kama watafika miezisita.
Hahahaaaaa...huyu kweli mwanga mkuu make si kwa viapo hiviSawa mwanga lutila kwani mwaka ni mbali?
Dyu!! Hapa kuna kaumbea ngoja nikaekae kidogo! Mwe!!Nadhani kama 300k hivi ! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Waambie ...make Mimi siwaelewi kabisa yaani watu wanawashwa sana humuHivi kwa nini watu wanamshambulia sana Irene hivi nyie wanaume wa hum mna akili kweli? Hao mademu zenu mbona na ninyi mnawala ila akiliwa Irene ndo anaonekana wa ajabu[emoji57] [emoji57] [emoji57] acheni ushamba
Eeh Ndio hivo!Yamekuwa hayo tena!!
Yaani kuna,watu wana hatari sana..demu limeungua hili kitambo limekaa mwananyamala kwenye councelling 4 months ..wakina nditi wa katalunya wamefumua marinda na kulipaka upupu mpka basi leo mtu anaoa..vijana wa siku hizi kufa hawaogopi kabisa