Ndoa ya Irene Uwoya, Marufuku kuingia na simu Ukumbini

Ndoa ya Irene Uwoya, Marufuku kuingia na simu Ukumbini

Hivi kwa nini watu wanamshambulia sana Irene hivi nyie wanaume wa hum mna akili kweli? Hao mademu zenu mbona na ninyi mnawala ila akiliwa Irene ndo anaonekana wa ajabu[emoji57] [emoji57] [emoji57] acheni ushamba
Eti Wanadai irene km zime hit mamilion +...................
 
Hakunaga ndoa ya mwarabu na mswahili, wewe chunguza kwa makini, hao waarabu wenyewe kuna koo wanabaguana huwezi kuoa labda uwe tajili kama huyu.

Ukishaona ndoa yenyewe inafanywa siri basi ujuwe jamaa anataka tu kuhalalisha kidini lakini hiyo ni nyumba ndogo tu, hana urithi wowote wa mali.
Acha kujifanya mjuaji,unajuwa sharia za ndoa katika uislam
 
inaruhusiwa kuoleana mkuu?
mkuu ile iliyofanyika ni reception tu sio ndoa,na kiislam haitambuliki ni mambo ya maamuz t kufanya au kutofanya,kiislamu ndoa inafungwa popote either kwa siri au watu wakishudia muhim awepo shekh muowaji,muolewaji au mwakilish wake.. hiyo ndoa itakua ishafungwa na jamaa katulia tu anamsubiri mke wake,,yule dogo wamemtumia t kuzuga watu
 
Yaani kuna,watu wana hatari sana..demu limeungua hili kitambo limekaa mwananyamala kwenye councelling 4 months ..wakina nditi wa katalunya wamefumua marinda na kulipaka upupu mpka basi leo mtu anaoa..vijana wa siku hizi kufa hawaogopi kabisa
Haya ni yako..ukiona kimezeeka wengine wanaona kipya!! Mbona binadamu mwenzenu kupata neema inawauma sana wakuu!!! Siku hizi wanasema mnawashwawashwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi kwa nini watu wanamshambulia sana Irene hivi nyie wanaume wa hum mna akili kweli? Hao mademu zenu mbona na ninyi mnawala ila akiliwa Irene ndo anaonekana wa ajabu[emoji57] [emoji57] [emoji57] acheni ushamba
Waambie ...make Mimi siwaelewi kabisa yaani watu wanawashwa sana humu
 
Back
Top Bottom