M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Huenda mwana wa kuitwa Rich ana mtonyo huwez juaNilishawaambia lkini, ndoa ilikuwa sio ndoa ni ndoano na imepumulia mashine kwa miaka mingi.
Kiukweli Wolper alikurupuka kuolewa na Rich.
Noma sana 😅Watajuana wenyewe huko
Ova
Mtonyo sio sababu ya kuvunjika ndoa yao, Rich bado ana mambo mengi ujana mwingi anaruka sana.Huenda mwana wa kuitwa Rich ana mtonyo huwez jua
Na hakuna mkate mgumu mbele ya chai