Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

Ananiachaje wakati tulikubaliana kuanzisha familia katika ndoa...mi naomba twende kama kiapo kilivyosema,kifo kitutenganishe
Unamshaurije mwenzio ambae 2023 aliitaka sana divorce, 2025 hataki hata kuskia kuachika....hatasumbua tena mbeleni apewe mapema mambo yasiwe mengi baada ya uchaguzi mwisho wa mwaka huu kweli🤭
 
Kiafrika wazazi watengane na bado washirikiane kulea??? ni wachache wanaojielewa ndio wanaweza hilo jambo. Otherwise ni watoto wabaki na mama, sumu wajazwe vchwani mwishowe dingi azile kutoa kuduma kwa watoto....watoto hapa lazima waisome namba
 
Amani ya moyo ni muhimu sana kuliko kuishi kwa mateso kisa watoto. Watoto wanaathirika sana wakiwa na wazazi wenye ndoa zenye matatizo. Ni bora kuachana na kutafuta namna nzuri ya kulea watoto.
Kuna watoto baba na mama wapo pamoja lakini wanapitia mateso makubwa.
Unachosema si sahihi! Hujaona ndoa ambazo wazazi waliachana wakiwa wadogo lakini wakikua wanajitahidi kuwarudisha ili waishi wote baba na mama? Raha ya watoto ni baba na mama kuishi katika nyumba moja
 
Unachosema si sahihi! Hujaona ndoa ambazo wazazi waliachana wakiwa wadogo lakini wakikua wanajitahidi kuwarudisha ili waishi wote baba na mama? Raha ya watoto ni baba na mama kuishi katika nyumba moja
True. Single mother wanatafutaga Hata Baba wa mchongo kwa ajili ya Sex na kulea
 
Back
Top Bottom