Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Kama hakuna upendo, ni kazi bure kuwarudisha wazazi kukaa pamoja. Mapenzi na upendo ukiisha ,mke na mume kuishi pamoja ni mtihani.Unachosema si sahihi! Hujaona ndoa ambazo wazazi waliachana wakiwa wadogo lakini wakikua wanajitahidi kuwarudisha ili waishi wote baba na mama? Raha ya watoto ni baba na mama kuishi katika nyumba moja