Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

Unachosema si sahihi! Hujaona ndoa ambazo wazazi waliachana wakiwa wadogo lakini wakikua wanajitahidi kuwarudisha ili waishi wote baba na mama? Raha ya watoto ni baba na mama kuishi katika nyumba moja
Kama hakuna upendo, ni kazi bure kuwarudisha wazazi kukaa pamoja. Mapenzi na upendo ukiisha ,mke na mume kuishi pamoja ni mtihani.
 
Unachosema si sahihi! Hujaona ndoa ambazo wazazi waliachana wakiwa wadogo lakini wakikua wanajitahidi kuwarudisha ili waishi wote baba na mama? Raha ya watoto ni baba na mama kuishi katika nyumba moja
Unasema tu lakini kuna point inafikia wanandoa hawatakiwa kukaa pamoja. Juzijuzi kuna ndoa ya ndugu yangu imevunjika. Yaani wale wanapigana hadharani na kuumizana. Mke kanywa sumu na alitaka amuuwe na mume pia. Sasa ndoa kama hiyo ya kazi gani. Tumezika ndugu yetu kawekewa sumu na mwanamke kwenye chakula. Mke yuko jela wameacha watoto peke yao.
 
Rich kajiengua😁 ukiangalia wote pale utagundua Wolper ndiye alimuhitaji Rich kuliko vice versa ila Rich dam changa. Ana msururu wa Slay queen wanataka kutembezewa mkoyongo.
Sio slay kwins tu .. na wanaume wenzie.

Kumuita mtu wa aina hiyo “mume” inabidi upimwe mkojo kwanza.

Wolper ni maarufu historia yake inajulikana, hatuna cha kumlaumu…. Rich nani anamjua vizuri na kujua historia yake zaidi ya anayelala nae na wachache wanaokutana nae “maeneo”?
 
Back
Top Bottom