Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

Kama Rich anavyokulana na waume wenzie?

Ngoma draw hapo!

Hawa hawakujua kuwa hakuna kati yao ambaye ni material ya ndoa.

Hakukuwa na ndoa hapo ni vile tu jamii huwa inafikiri kila mtu ni lazima aoe/aolewe. Ndio maana watu wanajichanganya kila siku.
Rich wanamkula au anakula?
 
Ile mipesa waliyoitumia kwa ajili ya harusi si bora wangeinunulia ndama wakafuga. By now wangekuwa na ng'ombe kadhaa wa maziwa.

Nje ya mada, ule mjengo itakuwaje?? Au jamaa alikuwa anakaa kwa nguvu ya kiuno cha mkewe?
Na kweli ndama wangu nimenunua mwaka juzi nkampatia mtu afuge saa hii mjamzito karibia kujifungua
 
Hapana, Wolper alimpenda kweli Rich na alishamaliza mambo mengi alidhamiria kutulia na kujenga familia.

Kama ni mtonyo Wolper mwenyewe yuko vizuri sana, sio shida zake.
Kwa hiyo alishafanya yake wee akaamua kutulia aolewe, sio?
 
Wazungu huwa wanajitahidi ku-co parent
Hapa bongo asilimia kubwa ndoa ikiwa na migogoro ama wazazi wakiachana kuna namna ugomvi unawafikia watoto
Hatarii sana kuna shule hizi za English medium za boarding ila ni primary nilishuhudia baba na mama wanagombana yule baba hakutaka yule mama awaone, kuongea au kula na hao watoto. Inaonekana walishatengana na hiyo ilikuwa visiting day. Waligombana pale bila aibu baba akawasunda watoto kwenye prado mama alikuja na kama vitz sikumbuki. Katoto ka kike nadhani kama 7yrs aisee kaliangua kilio hadi huruma ajabu walimu walikuja ila wakawa wamesimama tuu kama mishumaa. Hawa kufika kwa pamoja baba alfika mwanzo hapo shule.
 
Ngumu sana mume akiwa nchi ngeni eti yupo kazini na anaweka mwanamke ndani anaishi nae kama mke pia.

Bora amevumilia amepata kwake pa kuishi.

Aende tu ila ukigeugeu wenu wasanii wa bongo.. Kila la kheri kwake

Kama mimi nina wivu, najijua
 
Ngumu sana mume akiwa nchi ngeni eti yupo kazini na anaweka mwanamke ndani anaishi nae kama mke pia.

Bora amevumilia amepata kwake pa kuishi.

Aende tu ila ukigeugeu wenu wasanii wa bongo.. Kila la kheri kwake

Kama mimi nina wivu, najijua
Ilikua suala la muda. Wolper kajiweka kama MUME wa watu, hafai kuwa mke
 
Back
Top Bottom