Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

Kama Mange ameconfirm ndoa kweli imeangukia pua hapa nitachangia kama ifuatavyo.

Mwanamke huwa anabadilika kutokana na mazingira ,alivyompenda Richy mwanzoni ni tofauti na sasa ,amekutana na mwamba mpya akamspoil akaona Richy kama anacheza tu....Mashangazi yanawamwaga sana mariooz ,amemwaga mpiga picha wa shilole ,naona Shamsa Ford naye anatroti amwage kiben ten chake.
 
Ngumu sana mume akiwa nchi ngeni eti yupo kazini na anaweka mwanamke ndani anaishi nae kama mke pia.

Bora amevumilia amepata kwake pa kuishi.

Aende tu ila ukigeugeu wenu wasanii wa bongo.. Kila la kheri kwake

Kama mimi nina wivu, najijua
Ila nashangaa seamen mabaharia wanakaa miezi sita majini halafu wake zao wamewaacha tu TZ.
 
Nilishawaambia lakini, ndoa ilikuwa sio ndoa ni ndoano na imepumulia mashine kwa muda mrefu.

Kiukweli Wolper alikurupuka kuolewa na Rich.
Kwa nini alikurupuka...mbona jamaa anaonrkana kaka mstàarabu halagu na wewe si unapenda wanaume wastaarabu
 
nakuombea iwe hivu kwa kweli, hizi habari za kukimbia kimbia sio nzuri kabisa, watoto wanahangaishwa sana, kisa tu hizi habari za kinyama ugomvi na kutandaza miguu. Hizi habari za kuachana zilinifanya niwachukie sana wazazi wangu hadi sasa, kwa kosa hilo tu la kunileta duniani na kutuacha kama kuku free range.
Umeongea point kubwa....Vipi walikuacha ulelewe na ndugu?
 
Nikwambie tu ndugu yangu, binafsi baada ya wazazi kutengana, dingi aliniondosha kwenye nyumba yake nikiwa 11 yrs old, mama akarudi kwao, mimi nikaenda Dar- nikawa nauza maji yale ya mkokoteni wakati huo miaka ya 1994- ili kulipa school fees na tuition. Chipsi dume na maji ya mkemia pale Azania ndio ilikuwa chakula changu. Nilipitia changamoto ngumu sana, lakini sikukata taama. Nili- Pass vizuri (kwa muujiz wa Mungu) kwenda form five na baada tu ya form 6 nikapata scholarship kuja huku-Europe. Mungu si Athumani- nimetoboa, kazi nzuri, mshara pia, watoto wangu wote kwa sasa pia wametoboa- mmoja yuko Oxford kama scientist na mwingine Cambridge kama Lecturer. Kwa sasa najiona kama ndio na- graduate toka chuo, najiandaa tu nirudi Nyumbani nifie huko. Namshukuru Mungu kwa alivyo nisaidia katika maisha yangu hadi sasa, hakuwahi na hajawahi kuniangusha siku zote ninapo mkimbilia, yeye ndiye amekuwa msaada wangu kwa kila jambo tangu siku ile nilipo timuliwa nyumbani.

Niki-reflect maisha ya kuvunjika kwa ndoa ile huwa nalia sana hadi sasa. Baba alipata mwanamke mwingine na kupata watoto wengine 4 alio wajali sana kuliko sisi wengine, Mungu alivyo wa ajabu, fainali uzeeni, sasa ngoma imebadirika na yeye sasa ndio tegemezi. Ingawaje nilisha msamehe, ila siwezi sahau niliyo yapitia.

Sipendi sana kusikia hizi habari za kuvunjika ndoa na innocent children hawajui pa kukimbilia, Mungu awafanyie wepesi na awapitishe katika njia bora.

Ni hayo tu.
Ulisoma Azania nini mzee....umepitia
changamoto ukiwa na umri mdogo...watoto wako sasa wasiishi Kama wewe
 
Umenichekesha sana, umejuaje kama napenda wanaume wastaarabu Mkuu?

Ndoa zina mengi, jamaa anaweza kuonekana mstaarabu lakini ya ndani kwao hatuyajui.
halafu wolper kumbe sio mkubwa kihivyo hajafikisha hata 40
 
Wengine tuna experience ya ajabu maana mke +ve na sie mpaka leo -ve! Haya mambo yaone hivi hivi. Cha msingi ni kukubali kuwa Kufunga ndoa ni kujitoa kwa ajili ya watoto mtakaopata si vinginevyo.
Mke wako ni positive ? Bado upo nae?
 
Umeongea point kubwa....Vipi walikuacha ulelewe na ndugu?
Umeongea point kubwa....Vipi walikuacha ulelewe na ndugu?
Ndugu wa wapi? nilikuwa nimepanga pale kwa Mama Tambaza makaburini na chumba kimoja tulilala watu 8 na kati ya hao nane wawili ni marehemu kwa sasa na mwingine ni Balozi wetu mahali/ nchi fulani. Nilipo fika tu tu Dar, nililala stend ya mabasi muda huo nikiuza pipi hadi nilipo pata pesa ya kupanga chumba na baade kuuza maji ili nipate tuisheni ya kumlipa yule jamaa wa pale ubungo plaza alikuwa kipanga sana wakati huo.
 
Ulisoma Azania nini mzee....umepitia
changamoto ukiwa na umri mdogo...watoto wako sasa wasiishi Kama wewe
Yes Azania, Tambaza na baadae Songea boys na Galanos ( Kwa Makamba) wakati ule wa fujo za Tambaza na Azania. Tumetoka mbali kwa kweli.
watoto wangu wako poa sana kwa sasa. Namshukuru Mungu kwa hilo na mengineyo yote niliyo pitia. Asije mtu akakwambia kwamba ametoboa kwa uweza wake.. ni Mungu ndio hupanga mambo hadi utoboe
 
Kabisa mzeee.... Che guevara ana anafasi gani katika upambanaji wako?? Naona unamkubali sana
 
Yes Azania, Tambaza na baadae Songea boys na Galanos ( Kwa Makamba) wakati ule wa fujo za Tambaza na Azania. Tumetoka mbali kwa kweli.
watoto wangu wako poa sana kwa sasa. Namshukuru Mungu kwa hilo na mengineyo yote niliyo pitia. Asije mtu akakwambia kwamba ametoboa kwa uweza wake.. ni Mungu ndio hupanga mambo hadi utoboe
Kabisa mzeee.... Che guevara ana anafasi gani katika upambanaji wako?? Naona unamkubali sana
 
Napafahamu sana....pana msikiti pembeni...nimesoma muhimbilit pale so ilikuwa njia yangu...watu mmetoka mbali mpaka jamaa kawa balozi kutoka kulala chumba kimoja watu 8 sio mchezo
 
Back
Top Bottom