Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

Siku nikiamua kupata mtoto wallah vile siachiki

Yaaaaaani unizalishe afu uniache? Hell no!

Kuna mdau atakuja kuniambia niteme mate chini....tayari nimetema halafu narudia nilichoandika hapo juu dadeq!
Nafanya kazi eneo ambalo nakutana sana na wazazi wanaokimbia watoto.

Nishakutana mara nyingi na mama ambaye haamini kama baba ndiyo ameshaota mapembe. So utakuta anapigwa, matunzo hayatolewi na bado mama anasisitiza anamtaka mtu huyo huyo.

Kwakua nipo kijijini utakuta binti wa 26 baba 28 watoto 5 na wote baba hajawahi kulea. Kisa mama aliamini anayemzalisha ndiyo wa milele. Tunaweka ndani baba na processes za kesi kufunguliwa zitafanyika ila katika 10 inasaidia kwa 4.

Point yangu ni nini? Mtu akishaonyesha ameshindikana muache aende.
 
nakuombea iwe hivu kwa kweli, hizi habari za kukimbia kimbia sio nzuri kabisa, watoto wanahangaishwa sana, kisa tu hizi habari za kinyama ugomvi na kutandaza miguu. Hizi habari za kuachana zilinifanya niwachukie sana wazazi wangu hadi sasa, kwa kosa hilo tu la kunileta duniani na kutuacha kama kuku free range.
 
Point kubwa ni Mapenzi hayalazimishwi
 
nakuombea iwe hivu kwa kweli, hizi habari za kukimbia kimbia sio nzuri kabisa, watoto wanahangaishwa sana, kisa tu hizi habari za kinyama ugomvi na kutandaza miguu. Hizi habari za kuachana zilinifanya niwachukie sana wazazi wangu hadi sasa, kwa kosa hilo tu la kunileta duniani na kutuacha kama kuku free range.

Pole sana mkuu
Ukiwa mzazi mfundishe mtoto umuhimu wa ndoa na uaminifu...nafikiri hili linaweza kutengeneza kizazi ambacho kitachukulia userious wa mahusiano
 
nakuombea iwe hivu kwa kweli, hizi habari za kukimbia kimbia sio nzuri kabisa, watoto wanahangaishwa sana, kisa tu hizi habari za kinyama ugomvi na kutandaza miguu. Hizi habari za kuachana zilinifanya niwachukie sana wazazi wangu hadi sasa, kwa kosa hilo tu la kunileta duniani na kutuacha kama kuku free range.
Pamoja na Joanah anasema kuwa anafurahisha genge, lakini mimi naamini mwanake akiamua kuwa mpaka kifo kiwatenganishe, ndoa itadumu. Uzi wa ndoa anaushikiria mwanamke, si mwanaume. Wanaume tatizo ni tamaa tu zinatuendesha
 
Siku nikiamua kupata mtoto wallah vile siachiki

Yaaaaaani unizalishe afu uniache? Hell no!

Kuna mdau atakuja kuniambia niteme mate chini....tayari nimetema halafu narudia nilichoandika hapo juu dadeq!
Tema tena 😹
Kuna wanaume vichaa, mwenzio Wolper mumewe ana mke mwingine tena shoga.!!
Mwanaume km huyo utamvumilia??
 
Back
Top Bottom