Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

Pamoja na Joanah anasema kuwa anafurahisha genge, lakini mimi naamini mwanake akiamua kuwa mpaka kifo kiwatenganishe, ndoa itadumu. Uzi wa ndoa anaushikiria mwanamke, si mwanaume. Wanaume tatizo ni tamaa tu zinatuendesha

Kwa hiyo wakati mnaendeshwa na tamaa huwa mnajua wake zenu wana moyo kama nyie lakini bado mnafanya...makusudi?

Kuna magonjwa,nife kizembe in the name of ndoa?
 
Pole sana mkuu
Ukiwa mzazi mfundishe mtoto umuhimu wa ndoa na uaminifu...nafikiri hili linaweza kutengeneza kizazi ambacho kitachukulia userious wa mahusiano
Nikwambie tu ndugu yangu, binafsi baada ya wazazi kutengana, dingi aliniondosha kwenye nyumba yake nikiwa 11 yrs old, mama akarudi kwao, mimi nikaenda Dar- nikawa nauza maji yale ya mkokoteni wakati huo miaka ya 1994- ili kulipa school fees na tuition. Chipsi dume na maji ya mkemia pale Azania ndio ilikuwa chakula changu. Nilipitia changamoto ngumu sana, lakini sikukata taama. Nili- Pass vizuri (kwa muujiz wa Mungu) kwenda form five na baada tu ya form 6 nikapata scholarship kuja huku-Europe. Mungu si Athumani- nimetoboa, kazi nzuri, mshara pia, watoto wangu wote kwa sasa pia wametoboa- mmoja yuko Oxford kama scientist na mwingine Cambridge kama Lecturer. Kwa sasa najiona kama ndio na- graduate toka chuo, najiandaa tu nirudi Nyumbani nifie huko. Namshukuru Mungu kwa alivyo nisaidia katika maisha yangu hadi sasa, hakuwahi na hajawahi kuniangusha siku zote ninapo mkimbilia, yeye ndiye amekuwa msaada wangu kwa kila jambo tangu siku ile nilipo timuliwa nyumbani.

Niki-reflect maisha ya kuvunjika kwa ndoa ile huwa nalia sana hadi sasa. Baba alipata mwanamke mwingine na kupata watoto wengine 4 alio wajali sana kuliko sisi wengine, Mungu alivyo wa ajabu, fainali uzeeni, sasa ngoma imebadirika na yeye sasa ndio tegemezi. Ingawaje nilisha msamehe, ila siwezi sahau niliyo yapitia.

Sipendi sana kusikia hizi habari za kuvunjika ndoa na innocent children hawajui pa kukimbilia, Mungu awafanyie wepesi na awapitishe katika njia bora.

Ni hayo tu.
 
Niki-refrect maisha ya kuvunjika kwa ndoa ile huwa nalia sana hadi sasa. Baba alipa mwanamke mwingine na kupata watoto wengine 4 alio wajali sana kuliko sisi wengine, Mungu alivyo wa ajabu, fainali uzeeni, sasa ngoma imebadirika na yeye sasa ndio tegemezi. Ingawaje nilisha msamehe, ila siwezi sahau niliyo yapitia.

Sipendi sana kusikia hizi habari za kuvunjika ndoa na innocent children hawajui pa kukimbilia, Mungu awafanyie wepesi na awapitishe katika njia bora.

Ni hayo tu.

Hongera sana mkuu
Mungu ni mwema sana na vizuri ulifanikiwa na kuamua kumsamehe mzazi wako
 
Nikwambie tu ndugu yangu, binafsi baada ya wazazi kutengana, dingi aliniondosha kwenye nyumba yake nikiwa 11 yrs old, mama akarudi kwao, mimi nikaenda Dar- nikawa nauza maji yale ya mkokoteni wakati huo miaka ya 1994- ili kulipa school fees na tuition. Chipsi dume na maji ya mkemia pale Azania ndio ilikuwa chakula changu. Nilipitia changamoto ngumu sana, lakini sikukata taama. Nili- Pass vizuri (kwa muujiz wa Mungu) kwenda form five na baada tu ya form 6 nikapata scholarship kuja huku-Europe. Mungu si Athumani- nimetoboa, kazi nzuri, mshara pia, watoto wangu wote kwa sasa pia wametoboa- mmoja yuko Oxford kama scientist na mwingine Cambridge kama Lecturer. Kwa sasa najiona kama ndio na- graduate toka chuo, najiandaa tu nirudi Nyumbani nifie huko. Namshukuru Mungu kwa alivyo nisaidia katika maisha yangu hadi sasa, hakuwahi na hajawahi kuniangusha siku zote ninapo mkimbilia, yeye ndiye amekuwa msaada wangu kwa kila jambo tangu siku ile nilipo timuliwa nyumbani.

Niki-reflect maisha ya kuvunjika kwa ndoa ile huwa nalia sana hadi sasa. Baba alipata mwanamke mwingine na kupata watoto wengine 4 alio wajali sana kuliko sisi wengine, Mungu alivyo wa ajabu, fainali uzeeni, sasa ngoma imebadirika na yeye sasa ndio tegemezi. Ingawaje nilisha msamehe, ila siwezi sahau niliyo yapitia.

Sipendi sana kusikia hizi habari za kuvunjika ndoa na innocent children hawajui pa kukimbilia, Mungu awafanyie wepesi na awapitishe katika njia bora.

Ni hayo tu.
Kuvunjika kwa ndoa ni ubinafsi wa wazazi! Kila mara nasema mtoto anataka kuona baba yupo kulia kwake na mama kushoto!
 
Kwa hiyo wakati mnaendeshwa na tamaa huwa mnajua wake zenu wana moyo kama nyie lakini bado mnafanya...makusudi?

Kuna magonjwa,nife kizembe in the name of ndoa?
Wengine tuna experience ya ajabu maana mke +ve na sie mpaka leo -ve! Haya mambo yaone hivi hivi. Cha msingi ni kukubali kuwa Kufunga ndoa ni kujitoa kwa ajili ya watoto mtakaopata si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom