Ndoa ya Jay Dee na Gardner Habash yavunjika

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
37,226
Reaction score
26,687
Ndoa ya mwanuziki Jay dee na mtangazaji mashuhuri wa radio Gardner G. Habash inasemekana imevunjika huku Gardner akihama Kimara alikokua akiishi na mkewe na kuhamia kwa moja wa ndugu zake wa karibu sana.

chanzo cha kuvunjika ndoa hiyo bado hakijajulikana moja moja kwa moja ila wawili hao wamekuwa katika migogoro kwa muda.. na si mara ya kwanza kutengana ila this time hali si shwari. yazidi kusemekana kaka Gardner kazidi michepuko amekua haibi tena anafanya bayana mpaka mwenye mali anajua anavyoibiwa.

kudhihirisha hayo katika ukurasa wake wa IG dada jide ameandika "Walking Away From Troubles" ambapo umbepuzi yakinifu waonesha
mambo si sawa hata kidogo.

Gardner kabla ya kumuoa Jide alikua tayari na mke halali wa ndoa na mtoto mmoja.
 
Gadna amehamia kwa ndugu yake.....?????..kama alikua na mgogoro wa siku nyingi alikua hajasoma alama za nyakati na kujiandaa....umri wake hauruhusu kuhamia kwa ndugu......kama ni kweli lakn

haaaa yale yale ka yakina Edzen kuondoka na bag la nguo zako usafiri unakodi bajaji.

bado ni tetesi....,
 
Ila jamaa kalelewa muda mrefu lakini Mario huyu kajitahidi kufanya kazi.
 
warumi binamu muda kama huu ndio huwa nakukumbuka sana huu ubuyu lazima ungekua na info za kutosha.
 
Last edited by a moderator:
na juzi nyingine tu hapa Jay dee alipost picha moja akiwa mwenye huzuni na kama mtu anataka kulia maana machozi yalikua yanalenga machoni na kuweka ujumbe "Sijui Nisemaje"

najaribu kuzidi Ku connect dots.
 
na juzi nyingine tu hapa Jay dee alipost picha moja akiwa mwenye huzuni na kama mtu anataka kulia maana machozi yalikua yanalenga machoni na kuweka ujumbe "Sijui Nisemaje"

najaribu kuzidi Ku connect dots.

Jay Dee mwenyewe ni pasua kichwa....bangi zinamzuzua kinoma.
 
Reactions: Sal
Sasa Garder ataishije hapa mjini mtoto soft kama yule?,milango yake ya ridhiki Lady JD ameshaifunga
Ngoja wapemba na waarabu wafanye yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…