Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Ndoa si mchezo ati!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwekundu hujaanza kutafuta namba yake ili ukabe gap hata kwa huu mda wa mpito?🙈🙈Sasa Garder ataishije hapa mjini mtoto soft kama yule?,milango yake ya ridhiki Lady JD ameshaifunga
Ngoja wapemba na waarabu wafanye yao
Mziwanda hajaachwa, jana usiku Shilole kapost video IG wako ktandan wanawatakia usiku mwema..
Mziwanda si anapenda kulelewa ndio maana anazidi kungangania kukosea akosee shilole msamaha anaomba yeye...ashakubali kuwa kuna vidume vinamsaidia kupiga ze duduz.ile siku ya ugomvi na geti akafungiwa hamna kuingia ndani...
Shilole mwenyewe keshajisemea kupenda mwanaume asie na pesa ni kipaji,
kuna picha moja ya wawili hawa na shilole alivyojichubua ukiwaona utadhan Nuhu yuko na Bibi yake mzaa baba.
Kama ni kweli basi nimeamini Muosha huoshwa,huyu Jide si alikuwa mchepuko wa Gardener,hadi jamaa akamuacha mke wake kwa ajili ya Jide,Jide alifikiri anayo ya dhahabu kuwa jamaa ataacha michepuko?kama alivyomsumbua yule mama na yeye yanamkuta yale yale.Ndoa ya mwanuziki Jay dee na mtangazaji mashuhuri wa radio Gardner G. Habash inasemekana imevunjika huku Gardner akihama Kimara alikokua akiishi na mkewe na kuhamia kwa moja wa ndugu zake wa karibu sana.
chanzo cha kuvunjika ndoa hiyo bado hakijajulikana moja moja kwa moja ila wawili hao wamekuwa katika migogoro kwa muda.. na si mara ya kwanza kutengana ila this time hali si shwari. yazidi kusemekana kaka Gardner kazidi michepuko amekua haibi tena anafanya bayana mpaka mwenye mali anajua anavyoibiwa.
kudhihirisha hayo katika ukurasa wake wa IG dada jide ameandika "Walking Away From Troubles" ambapo umbepuzi yakinifu waonesha
mambo si sawa hata kidogo.
Gardner kabla ya kumuoa Jide alikua tayari na mke halali wa ndoa na mtoto mmoja.
kuolewa ni sheria kuzaa ni majaliwa
Mziwanda hajaachwa, jana usiku Shilole kapost video IG wako ktandan wanawatakia usiku mwema..
Hahaha hakujifunza kwa Ezden
Ngoja niende IG kwa imbea zaidi
Kama ni kweli basi nimeamini Muosha huoshwa,huyu Jide si alikuwa mchepuko wa Gardener,hadi jamaa akamuacha mke wake kwa ajili ya Jide,Jide alifikiri anayo ya dhahabu kuwa jamaa ataacha michepuko?kama alivyomsumbua yule mama na yeye yanamkuta yale yale.
Tutasikia mengii hapo utakuta hana hata nyumba mwanaume unamtegemea mkeo akafanye kazi sasa kule Kenya, ila Jide anampenda G nahis atamrudia
Yani ukitoa Mungu na mzazi wake next ni Gadner Jide anampenda sana G na Gadner naye kavumilia mengi jamani Jide mtata sana yule pure Kurya.